@jifunzesheria: Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Umoja wa Ulaya wamepuga kura kusitisha ufadhili na misaada kutoka umoja wa ulaya kwenda Tanzania #viral #tiktoktanzania🇹🇿 #wizarayamamboyanje #fyp #jifunzesheria
Yaa Allah uvunje huu muungano wa tanganyika na Zanzibar
2026-06-04 10:31:10
134
khamisi falaki :
watanzania mungu ndie muokozi wetu sio ulaya wala marekani
2026-06-04 10:32:35
193
Iman Charles :
tumeisha,
2026-06-06 04:31:42
0
Abdul Said189 :
MWISHO WA RIZIKI NDIO MWANZO WA RIZKI NYINGINE TUTAENDA TU
2026-06-04 13:24:53
67
Haslin21 :
insha'Allah nawatto wetu watapona na ushoga
2026-06-04 10:09:54
220
msuguri :
Bila ulaya tunaweza kuishi vizuri tu
2026-06-04 16:58:00
51
Kufa lazima :
hatutaki misaada yao watuache na Tanzania yetu nampongeza sana mama kwa upande alio uchagua watu wa maghalibi sio wema hata kidogo eeeh mwenyezi mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
2026-06-04 11:15:50
79
KFx :
Kujitegemea ndio tunavyotaka❤️
2026-06-04 10:36:05
44
Hamisi Mohamed :
Tunaishi kwa nguvu za ALLAH na si vinginevyo
2026-06-04 14:11:13
38
Salmeen Bakary367 :
tunamtegemea allah sio mmarekani
2026-06-05 11:07:17
9
waja leo :
riski anatoa mungu sio binadam
2026-06-04 16:48:43
14
Ba Ahmed :
Alhamdulillah!
Allah anatuepusha na ushoga
2026-06-06 05:46:58
7
ally amani🇰🇪 :
MSAADA YAO HAINA LOLOTE KWETU BIG UP KWA MAMA SAMIA KWA KUTUJALI WATANZANIA
2026-06-05 12:37:43
8
Hasheem Beimoja :
ata tusipopata misaada ccm ikipambana na majizi tunajiweza sana tu sisi sio masikini wala omba omba mungu atusaidie tuwe wazalendo inatosha
2026-06-05 04:27:10
9
Kassim Networks :
sisi ni Wana wa Mungu
Mungu yupo upande wetu
2026-06-04 15:53:50
12
bianco kidda :
follow me
2026-06-06 02:52:25
0
Mjuba Chuga :
hii ndo sanction sasa
2026-06-06 04:21:07
0
YACO TV :
HOW ARE YOU 😂
2026-06-05 15:00:48
0
comrade Acheche :
Wasitishe. Mimi siwapendi kabisa
Hawatusaidii
2026-06-04 14:19:57
17
Kitojo :
Watajamba sana
2026-06-04 15:07:45
8
Alnoor bin Noor :
Maamuzi ya MUNGU ndo maamuzi ya mwisho sio wao.
2026-06-04 14:50:19
10
Mantawa💨 :
Tuvute Bangi Sana
2026-06-05 08:20:41
5
Joseph Malidadi :
Bora maana sifaidiki nahiyo misaada
2026-06-04 10:01:51
19
Dogo Stima :
hatutaki Mikopo bro tupo sawa
2026-06-04 11:45:41
5
khubaidah8 :
safi tu hatuwataki tujitegemee wenyewe
safi tu
2026-06-04 12:42:43
20
To see more videos from user @jifunzesheria, please go to the Tikwm
homepage.