@digestive_healthysolutio: Mambo mawili yanayofanya 'Acid' ikukoseshe usiku wa amani: 1️⃣ Kulala Chali: Hakuna 'gravity' ya kuzuia asidi isipande kooni. 2️⃣ Mengenyo Unasinzia: Usiku mfumo wa chakula unalegeza misuli, ikiwemo ule mlango wa kuzuia asidi (LES). Linda usingizi wako kwa kuepuka vyakula vya mafuta na viungo vingi usiku sana!k kam unasumbuliwa na acid reflux nitafute nikusaidie 🛑 #AcidRefluxTips #Afya"