@mbughitv: .. "ROSARI NI SILAHA" .. Rosari sio Pambo Katika Miili Yetu Maishani Bali Ni Moja Ya Visakramenti Ambavyo Ni Muhimu na Chenye Nguvu Kubwa Sana Na Cha Kipekee . Mama Yetu BIKIRA MARIA Anakupenda Sote Na Pia Anatamani Sana Watoto Wake Tufike Juu Mbinguni ,ndo maana Hasa Hututaka Tusali Sana Na Hasa Rosali Ili tupate Kibali Cha Kuishi Katika Uzima Wa Milele... #rosali #mbughitvupdates #update #katoliki #reels
Milele Amina Fr. kamgisha ni kweli usemavyo nina ushahidi/ushuhuda mwelele ♥️Wakatoric Mapendoo sanaa ♥️nisaidien ku like hii post nisije nijaipoteza please ♥️
2026-06-05 03:34:48
15
Alphonsina pius :
AminA samahani naomba kuuliza kama mtu bado hajabatizwa anaruhusiwa kavaa Rozali