@forexkid0: Ukishindwa jambo ,usidhani kwamba watu wote watashindwa ,kumbuka watu tunazidiana uelewa na kama wewe ume shindwa usitake kuwakatisha wenzako tamaa. Unaweza ukawa ulianza miaka ya 70's ila wengine wakaanza 20's na wakafanikiwa kuliko wewe ,so wale wanaojifanya walianza Trading mwanzoni sio ishara ya kufanikiwa kabla ya wengine ,acheni izo mambo acheni vijana wajisake kwa nguvu zote mwisho wa siku mafanikio na riziki anatoa mwenyezi Mungu acheni vijana watie bidiii katika kupambana na umasikini. #Takeitorleaveit. #kakawataifa🇹🇿 #forextrading #forextanzania #financialmarkets

Kakawataifa🇹🇿
Kakawataifa🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 12:59:55 GMT
1352
156
10
1

Music

Download

Comments

user153040656379
sulleiman 12@ :
amini bro
2026-06-04 13:04:40
1
evanceglowbeauty
Glow Beauty :
kabisa kaka
2026-06-04 13:02:31
1
stephenmatiku
Hartley_wings :
yeah sure
2026-06-04 15:29:24
0
forexinsighttz
FOREX INSIGHT TZ 🇹🇿 🇹🇿 :
bro una consistency saana hongera sana
2026-06-04 13:30:03
1
elitzfx
EliTzFx🧢 :
KUTRADE GOLD NI RAHIS KULIKO HATA CURRENCIES 😀😀...kaka nimepitia kwako mwaka Jana January...now Nipo lock in am milking gold......haiikuwa RAHISi ilaa nilipofika nashukuru Mungu..✊✊
2026-06-04 20:56:14
1
To see more videos from user @forexkid0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About