@ibraah.supplement: Ukiona mara kwa mara kifua kinaungua, gesi tumboni, chakula kupanda kooni au mdomo kuwa mchungu, usipuuze. Hizi zinaweza kuwa dalili za Acid Reflux. Afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ni muhimu sana.#ibraah_food_suplement #AcidReflux #AfyaYaTumbo #Kiungulia #tanzania🇹🇿