@farmline.ltd: Rahisisha ufugaji,punguza magonjwa,Epuka hasara,punguza gharama za wafanyakazi shambani,fuga kisasa☑️☑️ Maji safi huwakinga kuku na hatari ya kupata magonjwa tutakuhakikishia maji safi muda wote kwenye banda la kuku wako, kwa kufunga mfumo wa maji wa nipples Kama unavyoonekana kwenye video Njoo ofisini kwetu au tuite shambani kwako tukupe makadirio ya gharama za kuufunga mfumo kwenye banda husika. 📍Tupo Dar Es Salaam Temeke vetenari Kama upo mkoani Tutafika na vifaa na tutakufungia mfumo💥 Kama unahitaji vifaa tu peke yake pia usisite kutupigia Piga au whatsApp 0686940893 #farm #farmline #farmlife #ufugajiwakisasa #vifaavyaufugajinakilimo

Farmline_LTD
Farmline_LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 14:51:38 GMT
6091
196
7
38

Music

Download

Comments

baba_mahertz
Baba_maher :
Nataka hii kitu
2026-06-06 09:24:17
1
buresjr
Mr. Mabure🇧🇼🇿🇼 :
I want this at my farm 😍
2026-06-05 01:12:52
1
xonoofficial77
@itsjay💎 :
for how long age chicken
2026-06-06 15:33:55
1
idrissa.diallo8496
idirss Diallo NAFSSA 🫶MM💝🎉M :
🙏🙏🙏
2026-06-04 17:33:13
1
To see more videos from user @farmline.ltd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About