@afyanimtajiofficial: Replying to @user9650656199073 PRESHA na SUKARI si magonjwa ya kuyapuuzia! Dalili zinaweza kuanza taratibu lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa ikiwa hautachukua hatua mapema.Katika video hii nimeelezea mambo muhimu kuhusu presha na sukari, dalili zake, na namna ya kujikinga kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha.Tazama mpaka mwisho #Presha #Sukari #AfyaNiMtaji #ElimuYaAfya #AfyaKwanza upate elimu hii muhimu, kisha mshirikishe ndugu na marafiki zako. Afya ni Mtaji – Tunza Afya Yako kwa Faida.