@beya.na.watoto: #france🇫🇷 #usa #tanzaniantiktok🇹🇿 #congo #canada

dr beya na watoto
dr beya na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 15:35:09 GMT
71717
2753
81
170

Music

Download

Comments

bintimwakwikiza
Binti Mwakwikiza :
Asante daktari kwa dharsa
2026-07-04 19:01:40
3
abediamani810
MariamMilles :
asante kwa darasa
2026-07-04 19:56:40
1
shannynelly92
🔥heart broke🌪️ :
wangu anasogea balaa kweli namshkuru mungu jaman
2026-06-04 18:50:15
12
faith.jemutai3
Faith Jemutai :
wangu six months hata hakai😁
2026-06-05 12:47:44
3
jescaizoba198
Jesca Izoba :
Mimi miezi 3 naona kama anaelewa kila kitu jamaniii
2026-06-05 05:16:52
6
officialsara067
Mom Gianna 🥰 :
Asante Mungu mwanangu miezi mi 2 tu saiz ameanza kujaribu,,kukaa pia anajigeuza 🥰🥰🥰
2026-06-18 05:02:07
1
user3110911296169
datuu :
wakwangu miwili anageukaa
2026-06-06 17:16:01
7
adamsaivon.mkondy
Yvonne :
asante doctor
2026-06-04 17:41:04
1
aliyah.com41
aliyah :
wangu shap sana mashallah hajatimiza miezi mi nne lakini mashallah 🥰
2026-06-04 22:35:47
5
monicaho65
monica k 001🇰🇪 :
sai wanaaza na 2months
2026-06-28 08:44:00
1
estherlemuyalemuy
@DIVIN"TOTO SIMPLE" :
Asante daktari nimekuelwa...
2026-06-10 11:07:40
1
alvin.mom3
alvin mom🦋🦋 :
wangu anamiezi sita anatambaa na anasimamia vitu namshukuru mungu 🥰🥰
2026-06-15 00:41:58
3
mariamngozo
mariam ngozi.com :
wangu miezi mitatu tu anaona ananijua na akili ikosafi
2026-06-05 17:01:37
1
queen.richard4
Mom Boys🥰 :
Asant umenisaidia
2026-06-12 12:52:33
0
jasminabdallah615
jay :
nashukuru mungu wakwangu kashaanza kuelewa kugeuka geuka
2026-06-10 15:21:06
0
divineniyomuremyi8
M.I.k🤍👩‍❤️‍💋‍👨 :
asante doctor
2026-06-05 05:58:31
1
pascalinefazili9
pascaline fazili :
Asante
2026-06-12 22:37:49
1
ester.john06
esterjohn624 :
jmn wangu ana minne kasoro lkn naona kbs tunaelewana vzr kwa kila kitu namshukuru mungu 🙏🙏🙏pia asante doctor 🙏🙏🙏
2026-06-14 00:39:05
0
wemabaker
wemabakery :
ahsante kipenziii kwa somk zur
2026-06-12 19:09:45
1
shuuhkidomo
Ashura Kidunda :
namshukuru mungu wangu anageuka wenyewe ukimlaza chali utamkuta kashalala kifudifudi
2026-06-04 23:48:55
1
fridah.mwikali26
Fridah Mwikali :
kweli
2026-06-05 05:42:29
1
mwana.juma87
Mwana Juma :
duh
2026-06-04 19:12:40
1
officially.kinjala
UMMY IRFAN💫💗 :
my bby is 3 moths but anafany hayo mwee,mungu ni mwema🥰
2026-06-05 11:01:30
1
leevee
❤ mama💞🥰 :
wangu kaanza kugeuka akiwa na week 3 saiv ana miez 3 anajifunza kusota na tumbo🥰🥰🥰
2026-06-07 11:22:40
0
davinakalube
chance kavugho kasemengo :
mimi ana miezi mi wili lakini ana ji geuza
2026-06-06 12:45:54
2
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About