Yn wallah uyu shehe anaelewesha vizur jmn mtu unaelewa kitu kwa haraka mm nashukulu sn kuna vitu nilikuwa cjui ila kupitia uyu shehe navijuwa ss alhamdulilah allah akuweke uzidi kutuelimisha inshaallah
2026-06-05 05:43:29
35
fatu :
shukran kwa mafunzo mazuri ya kutuelemisha
2026-06-04 17:36:08
12
happiness 12, :
shekhe Asalam aleykum ety mtu anaeswali swala5 lakin swala zake haswali kwa wakati mfano ya swala ya adhuhul anaswali sa8 na ya magharib anaswali sa1 insha anaswali sa4 je hii ni sawa??
2026-06-05 18:33:01
0
chercharmer :
shukran jazeelah
2026-06-04 17:31:59
5
Home sweet home💕😋 :
asante shekhe mung akupe maish marefu
2026-06-12 07:42:23
3
Hi Luke :
mashaalah
2026-07-05 10:54:14
0
PC Risa :
manshallah mung akupe kila la heli🤲
2026-07-07 13:46:17
0
mamaa :
Shukran kakangu
2026-06-04 21:43:18
2
Ukhty BILA&(VICKY) :
Asalam aleikum ostadhi je inaulazima mtoto wakike kwendakuswali swalatul jumaa msikitini .na nyumbani ama msikitini wapi nitapata thawabu nyinqi nikiiswali swala yanqu.
2026-06-05 10:37:35
4
🤍Mrs jaruf❣️ :
shukran ustadh
2026-06-04 23:07:24
1
kasali Sally :
shukran🙏
2026-06-04 17:57:02
1
Juma magoma :
shukran kwa darasa zur
2026-06-04 16:50:37
2
mtoto wa kwale :
axalam alakum warahmatullahi wabarakatuh shekeh wagu nakupeda sna kwa ajili ya Allah akulipe kher sheikh wagu na akupe afya jema na uzima zaidi uzidi kutufuza zaidi shehk wagu 🥰🥰
2026-06-05 11:08:50
1
MOAN :
Shukran
2026-06-04 18:06:25
1
swaty.Mdanta :
shukran shekh napenda mafunzo yako mungu hakulinde mwanangu
2026-06-04 20:23:45
1
sweetmami :
mashallah shukran
2026-06-04 20:15:26
1
khadijasaidkhadij1 :
Shukurani
2026-06-04 16:59:19
0
fatma :
asalamu waleikumu shekh swali langu nauliza hivi asubuhi kuna sunn ambayo nibora kuliko vitu vyote duniani je nimeamka mda wa swala ya faradhi imefika hapa niswali sunn au faradhi
2026-06-04 17:32:17
0
Mrs.Ngao💕 :
Allah akulipe kheri,sheikh.
2026-07-10 10:47:06
0
Salama Kessy :
Shukuran
2026-07-04 18:29:10
0
♥️~Aishay delicious ✔️🎂 :
mashallah
2026-07-06 08:34:21
0
najma :
Mashallah
2026-07-08 05:40:22
0
feroozenomer 🥰 :
assalam aleykum, ukiswalia nyumban siku ya ijumaa unatakiwa uswali saangap
2026-07-05 20:18:40
0
mwajumataabutaabu :
manshaallah
2026-07-06 16:54:02
0
uhty ماشاءالله :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 شكرن
2026-06-04 17:01:49
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.