Nilienda bureau kubadilisha hela dirisha nililoenda kulikua na pisi kali ikanihudumia ilikua kama dollar 350+ nilitoa kitambulisho cha kupigia kura, alipomiza kunihudumia nika mtip kiasi kidogo tu cha tsh kumshukuru, nikaondoka chap nikaacha kitambulisho makusudi,haijaisha hata dk mbili nakanipigia simu akaniambia nimesahau kitambulisho😁 nikarudi nikakichukua nikamuuliza iyo namba ni yako ama ya ofisi akasema ya ofisi nikampa tambo akaandika namba yake ilikua j4 nikamwambia ijumaa jioni ntamfata akaniuliza unipeleke wapi nikamwambia iyo ni jukumu langu asiwaze, ijumaa ilifika nikatoka nae nimeishi nae mara kadhaa ada akaolewa na walio siliazi na maisha
2026-06-05 12:22:47
1
Fedinandi Gingo :
nimezierewa kaka
2026-06-05 21:25:17
0
dibo_salum :
Sure snaa💯
2026-06-04 16:45:48
1
glody Gmk🇨🇩 :
sio kwetu congo
2026-06-04 20:25:37
2
Ramsso Tz :
broo wenomaah......sanaah.........daaah??nimeipenda hio point kaka
2026-06-05 20:17:20
0
45🍁🍁 :
Familiy
2026-06-05 15:05:24
0
aka tryp :
kama hakutaki hakutak2 inshu sio kutongoza😏
2026-06-05 07:23:21
2
S.I.L.L.A.H :
mtu wa bank huwez mtongoz ivo hana muda wa kukusikiliza bro
2026-06-04 21:17:14
1
moyo safy :
saf san
2026-06-04 18:01:13
1
kabazoka :
we noma bro
2026-06-05 19:39:25
0
casty_melody :
Generously 😂😁🥰🤚🫡🫡
2026-06-05 08:41:41
0
Rema.twin ❤️ :
wewe Noma Sana 😁🔥
2026-06-05 13:45:08
0
Beerus :
broh!!. umetowa code kubwa sana
2026-06-05 13:30:42
0
_T.r.a.c.x.i.v.a_in.drip :
uwakika san kaka
2026-06-05 09:50:45
0
user75122914081 :
Qubabake hiyo ni fact sana Broo bila kuchoka
2026-06-05 10:22:30
0
mustaffi823 :
that true bro
2026-06-04 21:40:06
0
maisha yako jukumu lako :
nimecoment
2026-06-04 20:37:22
0
ALØNE🏀💎 :
respect kk
2026-06-04 18:13:49
0
Soudi mokuu :
💯uhakika
2026-06-04 18:10:09
0
pirate lee :
kwel
2026-06-04 21:03:17
0
Rashid Kidua :
saw kaka
2026-06-05 22:17:25
0
Muhammed Ally :
du famia vzr
2026-06-04 19:38:53
0
BAD-23 :
atariiiii
2026-06-04 19:57:03
0
Armadillo-07 :
daah! achimoie 👏 👏
2026-06-04 20:21:12
0
Jofficial17 :
mda wote huo 😂
2026-06-05 10:46:32
0
To see more videos from user @wakjulmaestroo, please go to the Tikwm
homepage.