@shambashine: Muda mrefu wa kukomaa Tunda hili huchukua miezi mingi zaidi kukomaa mtin ikilinganishwa na aina nyingine. Hali hii hufanya mavuno yake kuchelewa na kuingia sokoni kipindi ambacho aina za kawaida zimekwisha sawa na embe aina ya kent ambayo huchelewa kukomaa na kuingia sokoni yenyewe na kufanya bei kuwa juu zaidi Call :0658019731 Whatsap no :0767019731 SUA Morogoro

Shambashine
Shambashine
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 17:54:46 GMT
6496
152
5
25

Music

Download

Comments

anduru147
am14578 :
moshi inastawi?
2026-06-19 09:21:39
0
daya.abdy
Daya Abdy :
inazaa baada ya miak mingap
2026-06-06 11:21:06
0
linah.ambroce
Roselee Ignass :
me nahitaj miche ya strawberry ila nipo dar
2026-06-04 19:38:23
0
user5088322585281
121 zaburi :
Dar linakubali?
2026-06-07 18:36:35
0
joe.mrina
joe mrina :
nitapataje miche?
2026-06-06 15:10:43
0
To see more videos from user @shambashine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About