Alianza kwa matusi, hadharani kunitukana.Eti hanitakii, anataka kuachana. Mi bado nafosiii, maana nampenda sanaa.Kumuacaha siwezi,Mi roho inaniumaaa 🎶🎶
2026-06-05 06:51:23
7
suleimaniabdallah0 :
umetsha kka dj
2026-06-22 21:21:17
1
Jmdady6 :
huna mpinzani kak
2026-06-14 18:06:43
2
Ramshy the dony again 770 :
do one for me
2026-06-07 08:50:39
2
S2k!zzy :
twend naoooo😊😃😊😃
2026-06-15 11:11:16
2
nanah :
4/4
2026-06-12 15:56:11
1
WILLY MERCEDES 47 😎💀☠️ :
first do one for me
2026-06-04 18:56:33
2
shadrack 49 :
kk
2026-06-20 11:22:35
1
Fuzo mc :
hii kali Sana 🔥🔥
2026-06-06 23:26:07
1
Hop_Drill🎤🎧 :
Yeye ndo alisema kwamba hatoniacha Tena anasema kua ananipenda sanaa.yeye ndo alisema ninamchanganya hata siku nikifa kwamba atanifataa.ila penzi....
2026-06-16 11:07:31
2
DJ sunny 52 :
noumah sanAh
2026-06-05 13:13:43
0
Chriss P♋_Tz :
Hana kasoro ,si surama si Tabia nawaza wapi aliteleza ama Salio Salio waliopo na mboooona nilienzi kwa Utenzi bado najitafuta inshallah napumua Kikubwa sbira🎼🎼🎼
2026-06-13 14:56:39
2
Ramadhani khamis :
oi nyimbo ya hii biti ninayo nibless broo
2026-06-11 16:50:48
1
Dangote producer :
lala lala lala kifuani mwangu lala lala lala mpenzi wangu yan mi nawe salesale maua nnavo kupenda mwenyew si unajua wendo wangu naodha baby tap nachi naapa kwa mola walai sikuachi
2026-06-08 19:51:11
1
Fuzo mc :
hivi kaka una msanii wa singeli
2026-06-06 23:26:35
0
Abby 22 :
kaka naomb uingie kwa account yang hapo Kuna kipaji
2026-06-09 17:00:22
1
Fire Brand :
🔥🔥 adi AI mwenyewe kanyoosha mikono juu😅
2026-06-15 09:15:33
1
~JANGCEE~ :
me napita umo 🔥🔥
2026-06-05 16:13:37
1
mdidi mofani :
nitumie mzima tutoe hit
2026-06-09 18:28:13
1
suyakidd45 :
oynikifany challenge nitaku2miaj
2026-06-04 19:49:45
2
D love♥️ :
mkal weweee
2026-06-05 08:45:23
1
D LOVE STARKID :
kaka
2026-06-04 21:52:26
1
brack msafh :
mi naweza kupita nalo
2026-06-16 12:08:33
1
6!X breezy :
iyooo..Kwl mapenzi kama utelezi.yqan Kam mnazi bila mkwezii.so Kam siwezii ila bado nafosiii.nami nipate japo mteteziii
2026-06-22 17:28:27
0
djtiger classic tz :
sas hapo hipop inaingiaje
2026-06-22 19:24:15
0
To see more videos from user @agatchu_compa, please go to the Tikwm
homepage.