@simukitaa: SIMU AMBAZO HUPASWI KUNUNUA 2026 Mwanakitaa sikiliza video hii mpaka mwisho kujua ni simu gani ambazo hupaswi kununua mwaka huu na ni kwanini Tuambie kwenye comment ni simu gani kati ya hizi ulipenda kuitumia na bado unaitumia? Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa Ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori #Sanukakitaani #Simukitaa #ijuesimuyako #Tech #apple
Simukitaa
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 18:16:19 GMT
Music
Download
Comments
Plan B 🎭 :
Ttzo unabonga saaaaaaaaana. Intro ndeeeeeeef 🤪🤪
2026-06-04 20:58:56
156
R4M50N :
Samsung A series zote njaa tu😂😂😂😂
simu ni S series
2026-06-04 21:49:46
116
adamas_dalisay :
Kuna iphone 11 duuh wazipumzshe
2026-06-04 18:54:32
49
cray naah :
Kuna mm sijawah badilish sm toka 2019 na Infinix yang ila maisha🤣🤣🥹💔
2026-06-05 05:28:02
29
£|iad mpaπgwa🦅 :
nashukuru infinx haipo 🥰
2026-06-28 18:12:30
7
Gentleman OG :
nina million 1.5m nitapata iPhone ngapi?
2026-07-02 18:47:10
6
nemohgreatest_sa :
12 PRO MAXXXXX OYEEEEEEE
2026-06-20 13:47:18
7
Acely🌸🫧 :
iPhone 6, x-series,11 plain,pro,pro max,12min ,16
2026-06-05 13:08:03
7
Ms _ Sandy ♋️ 💧 🌕 :
12 pro max iko Kaama pasi
2026-06-05 04:49:13
16
cute ish@🥰🥰 :
na sisi wa A07 😁😁😁😁
2026-06-05 09:45:28
5
Jemaye1 :
mimi naringa na infinix angu teena smart7
2026-06-18 07:31:37
2
Martha_ndosi :
wanangu wa ZTE likes ziwe nyingi hapa
2026-06-05 09:09:27
11
CLASSIC FURNITURE :
broo ivi aquos r7 unaionaje
2026-07-03 05:55:43
1
msela msomi :
kaka kuna se 6 inapokea mpaka ios ya 26.5 nomaa
2026-06-04 19:19:30
9
jayson_Tz :
bro kwa Samsung je
2026-07-18 13:26:10
1
Hezestarmon :
mnafanana na mbape
2026-07-13 17:43:55
0
Beneficial9 :
Simu kitaa likes🔥
2026-06-04 18:24:39
6
lucky~boy17tz :
waambie t inshort iphone za chuma zote achana nazo😂🤲😁
2026-07-14 16:57:27
2
cleophacr :
Team google pixel tujuane
2026-06-05 07:42:53
6
user90391445362320 :
iPhone 7 ujaitaja kwamba#
2026-07-17 15:14:50
0
Sipi sound :
tecno spak 40 sio sim hinasumbua kusoma lain
2026-07-19 07:35:39
0
irene :
ndiyo maana wanaziuza sana hadi kwa mkopo
2026-07-15 22:09:25
1
Prof. :
mm nilinunua Note 9..2019..mpaka leo ipo 😂😂😂 na naona inatoboa mpaka 2030
2026-06-18 16:51:09
3
Sully :
naskuru redmi hazipo 😁
2026-06-27 06:10:09
1
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.