@mrwolf_officiall: SHUKRANI KWA SHIRIKA LA CCBRT HOSPITAL KWA KUMWEZESHA MTOTO YOHANA KUPATA KITI MWENDO (WHEELCHAIR). #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage❤️❤️ #viral #mrwolf

Mr WolfTz🦊
Mr WolfTz🦊
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 18:24:10 GMT
126786
14617
454
115

Music

Download

Comments

mamagswax
Vyombo vya kishua swax :
yohana ni msafi jaman
2026-06-05 05:19:26
368
kingmoddy520
Moddy Alnaamani :
mungu awabariki wote kwa kujitoa.. hakika hii ni sadaka kubwa sana mungu atawalipa
2026-06-05 04:20:27
196
edco60
edco :
kiatu cha doctor nmekipenda
2026-06-05 00:07:31
50
lizyy073
Lizzy :
Ni mtoto mzuri sana nimempenda sana 🥰🥰
2026-06-04 20:27:51
94
rosebaby9901
Rose Baby 💞💞 :
mungu akubalik ww kaka na akupe maisha marefu🥰
2026-06-04 19:24:56
92
misher484
Misher48 :
Ccbrt ni hospital nzuri that’s nice ☺️☺️
2026-06-05 07:09:26
26
zenorinatarimo77
Mom B&E 😘 :
Ila we kaka una mahali pako panaandaliwa Mungu awabariki sana
2026-06-05 08:27:28
45
mbonimaulidi
Mboni Maulidi :
kaka wewe ni baraka kutoka kwa mungu
2026-06-05 08:56:45
24
agythebos
linah💃🥀 :
Sjui niwaashukuru vipi jamn mungu mungu awabariki sanaaaa
2026-06-04 20:18:14
21
officiallypam79
Pamelah Duka💖 :
Mungu akubariki jo…🥺🥰🥰
2026-06-04 20:34:06
10
jemy5884475430671
jemmie🥰🥰 :
mungu akupe kila hitaj la moyo wak Mr wolf
2026-06-09 14:41:17
21
showaj1
, :
uyu MUNGU jaman mwacheni to aitwe MUNGU
2026-06-05 08:18:43
18
vickey0405
vickey :
Mr Wolf Mungu anakutumia kwa Njia hii. long life Kaka
2026-06-20 09:55:13
7
user943727616527
user943727616527 :
MUNGU ALIYE HAI NA AKUBARIKI SANA MR WOLF
2026-06-04 21:13:38
8
tumainkalisa
user2771038334345 :
Brother kiukwel MUNGU akubalik Saaana 🙏🙏
2026-06-17 02:07:52
6
djaramadhani
mrs mdory :
mashaalwa Alla akusaidie kaka
2026-06-04 19:42:00
12
leocadiamick4
leo🌸 :
natamani nilie tu,,, nyie mungu yupo eti
2026-06-05 06:39:17
16
adentinaangnely
it's me😘 :
MUNGU awaweke
2026-06-04 19:17:34
6
krypton.de
krypton de⭐️💜 :
kuna wakati unapitia shida ukipata watu kam hawa unaona muujiza bro Mungu asikuache hata hatua moja Mungu akubariki sna
2026-06-06 15:18:38
10
annandunguru85
Mrs.r💝 :
ubarikiwe sana mr wolf huo ndio upendo aliouanza kristo wa kupendana sisi kwa sis mungu akufungulie milango ya baraka na akutane na haja ya moyo wako...
2026-06-04 22:23:14
9
winniecutie27
She’s cute👠🎓 :
Uyu mam anajitahd kwenye usaf jmm
2026-06-26 21:10:43
5
itsnaaaah
yohgal_.naah 🧕🏽🦋 :
ALLAH (S.W) akubariki sana na akufanyie wepesi kupitia hili piah awabariki Yohana,Mama Yohana na familia yote kwa ujumla 🤲🏽🙏🏽🤲🏽 Allahumma amiin In Shaa Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
2026-06-05 00:31:18
7
noracute2
NORAH💃😇 :
mungu awabariki sanaà
2026-06-04 22:05:30
5
mkodomi6
mkodomi :
Kaka mnafanana sana na yohana
2026-07-01 01:23:07
2
user1279593372147
selina :
Mungu akubariki Sana kaka mungu asikupugukie yoyte Alie uska kuwasaidia umekuwa baraka Sana
2026-06-26 04:12:57
2
To see more videos from user @mrwolf_officiall, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About