@www.mkatoriki1: JIMBO KATOLIKI LA MBULU manyara Tanzania #mbulu #manyara

MKATOLIKI OG
MKATOLIKI OG
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 19:22:21 GMT
25843
2405
135
60

Music

Download

Comments

victor.ezekiel88
victor Ezekiel :
yaan wambulu ni wachoyo mnashindwa nipa like ♥️
2026-06-04 21:20:39
15
tedywizzy
It's tedy♥️🫶🔥 :
Jimbo langu jamn love it so much
2026-06-06 22:44:10
4
linah9224
linah :
nilipata ubatizo apo ila nimepamiss nikija huwa nashidwa kwenda jimboni kwangu kwa sababu ya mambo I love Jimbo kuu la mbulu
2026-06-06 08:24:14
2
linah.linah82
Linah Linah :
home sweet sanu moja
2026-06-08 14:40:48
1
marynicas62
mary :
jimbo langu nilibatizwa hapo na kipaimara Mungu endelea kutukirimia wako na baraka nyingi kwa waumini wote
2026-06-06 18:47:26
1
eunicepeter1131
fransisca boaa :
mungu azidiii kuipa imanii jimbo letuu najivinia catholic
2026-06-07 13:20:44
3
dadamkubwa7
dadaa mkubwa :
hme sweet naolewaa mbuluuuu
2026-06-05 15:12:29
1
user135970842312
Bwenaaaa% :
Waooo mbarikiwe watu wa jimbo languu some time namic sanaa
2026-06-09 10:30:31
0
eustapatrick
EUSTA PRINCES :
waoo watu wa Jimbo langu mbarikiwe
2026-06-09 13:25:04
0
scolasticanada
scola isma :
mbulu yetu hiyoooo❤️❤️
2026-06-04 19:51:07
2
user2513118715531
phina willy :
wooooow jaman jimbon kwangu
2026-06-05 05:59:56
1
roseandrew5052
Rose Andrew :
waooo jimbo langu penda sana
2026-06-05 03:20:34
1
userslr5a7p833
5star :
Jimbo lenye upendo amani furaha ukarim Mungu endelea kutukirimia wema wako tujaliwe baraka nyingi🙏🙏🙏
2026-06-05 19:40:31
1
happydaniel178
Dasi manyara :
nawapend wakritu wenzangu
2026-06-05 19:32:31
1
user8600360061900
@fabi karera@ :
jimbo langu pendwa under bishop anthony lagwen munguu bariki jimbo pamoj na parokia zake zote
2026-06-07 10:51:11
1
user3086165349783
BINTI SAYUNI :
Sanu nilishafika hapo
2026-06-05 07:16:44
1
christopherpascal60
chris05 :
vizuri sana jimbo letu la mkoa wa manyara
2026-06-05 06:57:45
1
colletha_safari
colletha_safari :
waoooh jimbo langu katoliki la mbulu hongereni sana barikiweni na mungu 🙏
2026-06-05 15:04:14
1
annier.cute
annier cute :
jimbo langu jaman duh nimemic san🥰
2026-06-05 09:04:06
1
user4281610129341
Vanessa :
mbulu yetu❤️
2026-06-04 20:07:23
1
leotz215
Leo@TZ :
Jaman Mwenyezi Mungu Awabariki wote mliojitolea kwa moyo mkunjufu kulijenga HEKALU la BWANA Hakika Tazama jinsi lilivyokuwa Linapamba moto kwa ajili ya waumin kujichotea Baraka ya Neno la Uzima wa Milele
2026-06-05 07:03:14
1
elia.bura2
Elia Bura :
mungu ibariki jimbo la mbulu
2026-08-04 21:23:19
0
vampireboy445
vampireboy :
TUMSIFU YESU KRISTO wanambulu na wakatoliki wote tz
2026-07-30 17:58:30
0
winfrida.josephat
Winfrida Josephat :
nmepamccc sanaaa
2026-07-29 17:25:38
0
joycehilary97
joycehilary97 :
nyumbani kabisa
2026-06-04 20:32:39
0
To see more videos from user @www.mkatoriki1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About