@mxhrxhm_delboe: Dalili za clutch plate kufa (kuisha): ✔️Gari/lori kupoteza nguvu wakati wa kupandisha mlima au kubeba mzigo. RPM kupanda lakini mwendo hauongezeki sawasawa (clutch inateleza). ✔️Harufu ya kuchoma kutoka eneo la clutch. ✔️Gia kuingia kwa shida au kusaga wakati wa kubadilisha. ✔️Pedal ya clutch kuwa ngumu sana au laini kupita kawaida. ✔️Mtikisiko au vibration wakati wa kuachia clutch. Chanzo cha clutch plate kufa: ✔️Kuchakaa kutokana na matumizi ya muda mrefu. ✔️Kuendesha ukiwa umeegesha mguu juu ya clutch pedal. ✔️Kubeba mizigo kupita kiwango. ✔️Kuachia clutch taratibu sana mara kwa mara (half-clutch). ✔️Mafuta kuingia kwenye clutch kutokana na oil seal kuvuja. Suluhisho⚙️🔧: Kagua clutch kit yote (clutch plate, pressure plate na release bearing). Mara nyingi ni bora kubadilisha seti nzima badala ya clutch plate peke yake. Karibu MECHANIC kwa ushauri na msaada wa kiufundi. 🔧🚛.#mechanic #fypシ゚viral🖤tiktok #truck #fyppppppppppppppppppppppp
What you are looking at is a Clutch Plate (Friction Disc) and below it there is a Pressure Plate. They Transfer Power From A Cars Engine to Its Gearbox. They also Provide a way to be able to Disengage The Engine from the Transmission.
2026-07-18 07:15:46
0
China Trucks :
2026-06-27 15:16:37
0
Getu :
ፍሪሲዮንሸራዉጠማማነዉ
2026-06-18 18:02:26
0
sentahaw AMBO :
ስልክ አሰቀምጥ
2026-06-20 12:50:18
0
MHFZ dït vini jr :
explication
2026-07-12 02:10:40
0
DIARRA BRAHIMA :
tu veux expliquer quoi
2026-06-18 17:02:32
0
NDALU SCANIA EXPERT :
💪💪
2026-06-06 06:51:24
0
Lucien le 6 :
🥰🥰🥰
2026-07-17 23:31:33
0
engineering :
🥰🥰🥰
2026-06-06 16:48:13
0
fall la gueune :
🥰🥰🥰
2026-07-12 08:24:58
0
TAGALEDIN :
💚💚💚
2026-07-09 16:28:48
0
Hanifhttps://vt.tiktok.com Mia :
🥰🥰🥰
2026-06-29 12:12:23
0
abdulmudallib Khalid musa :
😁😁😁
2026-06-27 22:20:50
0
Bass Diaw :
🥰🥰🥰
2026-06-22 22:19:19
0
Dani🚶boy :
🥰🥰🥰
2026-06-21 13:09:15
0
sidi mouctar dionga :
🥰🥰🥰
2026-06-18 17:01:13
0
DIAKARI Dahou :
@🥰🥰🥰
2026-06-17 21:26:53
0
66384829 :
🥰🥰🥰
2026-06-14 18:05:01
0
የጅማው መካኒክ :
💪💪💪
2026-06-08 19:12:16
0
Samba🇸🇳DL🇫🇷 :
🥰🥰🥰
2026-06-07 14:23:18
0
Mouhamed Dousou :
🥰🥰🥰
2026-07-16 19:36:23
0
کلچ جاپانی پارٹس :
🌹🌹🌹
2026-07-18 07:17:48
0
Dassah Alozious :
🥺🥺🥺
2026-06-05 10:32:24
0
نهار user9158060670672 :
😎😎😎
2026-06-04 19:38:28
0
cheikh mikanik KG 781038107 :
❤️❤️❤️
2026-07-18 16:34:33
0
To see more videos from user @mxhrxhm_delboe, please go to the Tikwm
homepage.