@the.syntrix.nuru: Kadiri unavyokuwa mtu mzima, ndivyo unavyogundua kuwa si kila kitu kinahitaji kushirikiwa. Baadhi ya mambo yanahitaji kulindwa. Baadhi ya mambo yanahitaji muda wa kukua kimya kimya. Na baadhi ya mambo yanakuwa na nguvu zaidi pale ambapo si kila mtu anayajua. Kumbuka: Si kila kitu kinahitaji kupostiwa. Si kila kitu kinahitaji maoni ya watu. Si kila kitu kinahitaji hadhira. Wakati mwingine amani ya akili yako ni muhimu kuliko kupata attention ya watu. Follow @the_syntrixi #Privacy #Mindset #LifeLessons #SelfImprovement #PersonalGrowth