@focustvtz: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, aoneshwa namna Ukanzi unavyotumika kuzalisha Bidhaa za Hospitalini alipotembelea Banda la Idara ya Kemia kwenye Maonesho ya Wiki ya Utafiti yaliyoandaliwa na Kuratibiwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE). #FocusTVTanzania
Hii nchi Ina vipaji vingi sana. Lakini sasa.... DAAH.!
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
2026-06-05 05:26:54
16
Faiza Mzena :
ulanzi oye🙏
2026-06-05 09:17:00
8
Bless Geo :
hongela kwa ubunifu
2026-06-05 03:41:20
2
MC Devotha | Events :
Mwandishi kwenye caption umeandika ukanzi ni ULANZI🙏Asante studio
2026-06-05 09:19:35
2
Justin 👑👑 :
chemistry master @Shedrack 🔥🔥🔥
2026-06-07 01:35:11
0
Mr.P :
Mwalimu wangu wa Chemistry 🙏
2026-06-09 14:05:57
2
BEATRICE MWINUKA :
Hongera sana ndugu zangu kazi yenu nikubwa sana, ni serikali tunkuamua kuwekeza kwenye hiyo technology ili tupate maendeleo zaidi na sio kutegemea kila kitu toka nje ya nchi 💪💪💪💪💪
2026-06-07 17:17:52
0
aileenlema6 :
mc una haraka etiii???
2026-06-06 08:08:53
0
Nchese Tv :
Waooo iki ndicho tunaitaji
2026-06-06 06:42:02
0
Tony mazee :
ulanzi oyeeee
2026-06-05 14:23:16
0
prostronics :
Mc unazingua vitu muhimu sana hivyo
2026-06-05 10:32:09
0
Ezrom construction Tz..🇹🇿 :
congratulations 🎊
2026-06-05 04:28:05
2
Enock Shagembe :
Duu
2026-06-04 22:02:11
0
mariammakilika :
iringa yetu ulanzi oyeee 🙏🙏🙏
2026-06-06 07:29:07
1
Nobleman :
Hapo 45% ndio nimeelewa
2026-06-05 07:47:19
2
middle king 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 TZ :
heeeeee
2026-06-05 14:13:41
1
THE DR. :
bigup
2026-06-05 03:17:40
1
twenty6🕊✨️🫶 :
ulaasi wetu👍🥰🥰
2026-06-05 04:30:41
0
Bulabo john Mganga :
binafsi nawashukuruni sana
2026-06-05 04:04:36
0
tithoherman :
waje nane nane
2026-06-05 09:30:33
0
@light :
jama sir shadrack🤗🤗
2026-06-16 19:20:52
0
Cstvoo :
Nilitegemea RC angekaa apo ata dakika 40 maana nahis kijana hajamaliza na MC nae asante za nn umemkata sio poa.
2026-06-05 09:44:33
1
Jackma :
ukanzi?🙄🧐
2026-06-05 22:57:29
0
ZEDANY SPECIAL👉💯 :
Ulanzi😁
2026-06-05 03:43:08
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.