mnaosema wimbo mbaya, tatizo mshazoea mikelele ndo shida yenu,hizi nyimbo za watu classic wasio na mambo mengi😁
2026-06-05 05:09:24
757
user8740466237133 :
nyimbo ya kawaida sanaa sioni mshindani wa diamond
2026-06-04 21:42:22
288
Lil Rapcha :
Hii nyimbo ni nzuri volume ikiwa 0% 😢
2026-06-04 22:04:40
123
DONATIEN officiel 🇨🇩 :
bila huruma harmonize ka mfunika King kiba vibaya
2026-06-04 21:32:37
304
MKALI🚭 :
wataimba na wataimba ila sisi nyimbo1 tunazima za WCB zote mamaee
2026-06-05 05:15:45
87
Mt Bekah Tz :
Amna kitu nyimbo ya kawaida sana
2026-06-05 05:22:37
35
serengetisunrisesafaris :
Humu tu 😁
2026-06-05 05:14:54
144
Maylarama :
Wale wa ijumaa 6:00 asubh haiii
2026-06-05 03:01:05
41
DON.OCTIWIZZY🦅🇺🇸 :
wote wanaosema nyimbo mbaya hawajua mziki sikia melody hio
2026-06-05 07:47:01
31
saidodreadlocks🇫🇷 :
Nyimbo tamu sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-05 05:12:09
54
mtu safi🍀🍀bland :
20nalipa
2026-06-05 03:31:08
5
NINO_official🇰🇪🇨🇦 :
nani anaskiza na headphones 🎧 😂
2026-06-05 18:55:21
9
Dullar_Store_Mwanza :
10/10
2026-06-04 21:46:20
13
Yule boy :
MZEE KONDE KAUA AISEW🙌🔥
2026-06-04 22:42:46
7
seraphin :
atamukiungana wote Alikiba, harmonize, Rayvanny na mbosso ila SIMBA DANGOTE @🦁 atabakitu namba 1 TU
2026-06-05 07:50:25
8
Daudi 🐒 :
Tunaomkubali harmonize tulike hapa
2026-06-04 21:33:08
112
TEMBO KING WA MSITU 🐘🔥 :
konde nomaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🐘🐘
2026-06-05 11:44:20
10
officialrama :
what I expected vs what I get😅😅
2026-06-05 03:41:55
7
Othman athuman :
harmonize kafeli kuimba na king 👑 kwasabab ameshusha Brand
2026-06-05 03:00:30
20
chris classic dj :
kama mungu kakuamusha Salama tujuwane hapa❤️like
2026-06-05 05:44:31
19
janneke :
yani alosema kwamba watu wanasema nyimbo mbaya kisa wamezoea makelele yuko sahii kabs sisi wengine atutaki makelele sana nyimbo kama izi ndo nyimbo zetu unasikiliza kwa utulivu
2026-06-05 08:48:59
10
Mwisanaux mumbere :
oh my konde twa furahi sana tena sana, hiingoma ina hit sana kwetu sisi wapenda nao.
2026-06-05 15:31:51
7
Kushaha_brand :
nilvoona ile intro nilshtuka. kumbe nyimbo za kina kondela wa boomplay😅😅😅😅😅
2026-06-05 09:44:23
10
Jeremy Mwirigi :
2026-06-05 02:42:56
6
To see more videos from user @kondeboy_tz, please go to the Tikwm
homepage.