@kanikibrown: Watanzania wameaswa kuacha kusikiliza wanaharakati na wanasiasa wanaochochea vurugu na uvunjifu wa amani nchini, kwa kuwa watu hao hawana nia njema kwa Taifa Rai hiyo imeitolewa leo, Alhamisi Juni 04. 2026, Jijini Dar es Salaam na Mwanafalsafa wa Pan-Afrika kutoka Zimbabwe, Dkt. Joshua Maponga wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliohusu uzinduzi wa makala inayozungumzia Matukio yaliyotokea Nchini kabla na baada ya Oktoba 29.2025 (Siku ya Uchaguzi Mkuu), makala ambayo imeandaliwa na kampuni ya African Spear Head Media Katika maelezo yake, Dkt. Maponga amedai kuwa baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO's) yamekuwa yakipokea fedha kutoka mataifa ya nje kwa lengo la kuhamasisha vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili na amani ya nchi, ikiwemo vurugu na migawanyiko kati ya wananchi na viongozi wao, ambapo amesema hali hiyo ni hatari kwa ustawi na usalama wa Taifa, hivyo kushauri serikali kuchukua hatua za kufanya uhakiki wa mashirika hayo ili kubaini vyanzo vya fedha wanazopata na namna zinavyotumika Aidha, amedai kuwa watu wanaochochea vurugu mara nyingi huishi nje ya nchi katika mazingira mazuri, huku wananchi wanaoshiriki machafuko hayo wakikabiliwa na madhara makubwa ikiwemo kupoteza maisha, mali, uharibifu wa makazi yao nk Sambamba na hilo ametoa wito kwa Waandishi wa Habari kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu athari za maandamano yasiyo ya amani na vurugu, akisisitiza kuwa matukio kama hayo yanaweza kuathiri maendeleo na rasilimali za Taifa #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 21:43:09 GMT
14163
584
58
142

Music

Download

Comments

user814160868126
Abraj.official :
Huu ndio ukweli uliojificha..na umesemwa leo...Respect to this man
2026-06-05 07:13:11
13
mr.chimps1
Mr.Chimps :
Fact and true kabisaaa 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
2026-06-05 04:53:04
13
balo1396
balo :
well said comred
2026-06-05 08:14:01
2
g703653
G70 :
live longer our brother.
2026-06-05 08:19:25
1
tibu83620
Tibu :
well spoken 👏
2026-06-05 07:31:42
1
mariam.sappa
mariam sappa :
Well said baba 🥰🥰
2026-06-05 05:23:28
4
abdu..locco
abdu..locco :
wajinga watamkumbuka sana huyu na maneno yake
2026-06-05 05:34:38
7
muu_isurlollipop
Muu Simba zee :
brother is raising his facts and not his voice.
2026-06-05 06:26:36
4
ushanta26
ushanta 26 :
love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-05 05:32:47
4
lugamba162
Humutu :
Ukweli mtupu
2026-06-05 06:16:23
3
amoobrown
Amoo☆Brown :
What is He Saying !?!??
2026-06-05 06:11:48
1
himidi796
the stones :
thanks brother
2026-06-05 05:05:21
3
user9698202077555
user9698202077555 :
100% correct 🇹🇿🇹🇿
2026-06-05 05:12:22
4
user8302317767574
user8302317767574 :
exactly
2026-06-05 04:50:00
2
mwinyi.foum
Mwinyi Foum :
my Tanzania😳😢
2026-06-05 06:17:14
2
mangimazao
Towo manginimmoho :
mmh
2026-06-05 05:09:23
3
user9097684609743
user9097684609743 :
absolutely true waambie babaa
2026-06-05 07:48:48
0
legraah45
legraah :
very truee💯
2026-06-05 07:29:45
0
muddy908
muddyNtengu :
ukweli ndio huo
2026-06-05 05:37:54
2
mtufudenge1
mtufudenge1 :
True
2026-06-05 03:59:56
2
mahambrii
DUH SURA IMEPARARA😂😳♟💰💸 :
[Sticker]
2026-06-05 05:19:26
1
khadijazahoroabda
maus :
true
2026-06-05 04:00:32
1
user572253396116
user572253396116 :
Kweli 💯💯💯💯💯💯
2026-06-05 08:22:19
0
alvinmcnimrods
mausay :
fact
2026-06-05 08:16:23
0
zenachilamula2
zenachilamula2 :
Correctly. I concur with u
2026-06-05 06:27:49
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

baile de jean claude van damme ia el baile del saltadito paso a paso jean claude van damme about his wife how to do the dmv dance que baila jean claude van damme baile de van damme guatemala van damme bailando jean claude van damme dancing baile de vandamme baila jean claude van damme baile de van damme en tiktok jean claude van damme and his mom jean claude van damme dance tutorial vandamme edits van damme jimmyvandamme baile de van damme original completo van damme action scenes vandamme jean claude van damme van damme baile meme videos how to do the van damme dance imitador de jean claude van damme van damme and his son jean claude van damme in spanish jean claude van damme memes baile de van damme completo jean van damme bailando jean claude van damme and his wife jean-claude van damme van damme sacando los pasos prohibidos claude van damme bailando baile de van damme chaparro baile jean claude van damme original canción jean claude van damme bailando cumbia baile de van damme peruano baile de van damme 2021 van damme and his daughter baile dia delicia paso a paso jean claude van damme dance original bianca van damme jean claude van damme fighting baile de van damme original van damme and his wife van damme dancing jean claude van damme talks about his wife jean claude van damme dance scene van damme and his son tras camara jean claude van damme dancing edit baile de van damme paso a paso van damme baile sonido original jean claude van damme dance fight jean claude van damme dancing meme #KLingCreators #KlingAI #bailesvirales #vandamme #trend

About