@sheikhmbarakahmed: Kwa vijana wanaositasita na wanaoogopa kuingia katika ndoa #sheikhmbarakahmedawes #sheikhmbarakawes #nikah #alhudatvkenya #DukturMbarak
Allah atujaalie wake wema na atujaalie sisi tuwe wema kwao. Wallah kunatisha vibaya sana lakini ili kuepuka uchafu hakuna budi. Mungu atuwezeshe kwa rehma zake na utukufu wake
2026-06-05 21:52:29
14
Ahmad :
nisipo coment kweny video ambayo inaelezea mila yangu ambayo inabidi nishikamane nayo nita coment wapi maalim Allah akujaalie elimu yenye manufaa kwa watu
2026-06-10 19:12:14
5
Abdulaziz Mohammed :
allah atujalie wakheri
2026-06-10 17:56:46
2
abdulmajidi 27 :
Allah akubaarik sana sheikh. na akuhifadhi sana ..
2026-06-05 12:50:03
7
Mimu119 :
jazakallah kheir akhiyy
2026-06-06 10:40:05
1
Babuji Diaz :
Jazaqallahu khaira sheikh mpendwa ALLAH akuhifadhi insha'Allah
2026-06-05 13:40:49
4
WAZIRI WA KUSAFISHA TABIA💉 :
saw
2026-06-05 18:48:50
2
ThEOnE🇰🇪🇫🇷 :
alhamdulillah ahadi ya kweli sai najionea🥰🥰🥰
2026-06-10 08:52:06
1
Mohammed Riyami :
amiin shekhe tuombee dua tuowe mapema
2026-06-14 04:59:33
0
Abdulazizi Shabani :
ما شاء الله
2026-06-06 06:49:32
2
Alhabiby phone&maning :
sheikh nakupenda kwa ajili allah
umejua kutuelimisha
2026-06-10 12:34:37
1
fighter :
kweli eenh dah shukran shekh
2026-06-06 05:22:17
2
El _hajj deof :
ya Allah tujalie kheri
2026-06-12 15:16:47
0
Mohzul 💕 :
JazakaAllahu Khair sheikh
2026-06-05 17:40:59
2
sky walker :
mm apa wakwanza naogopa sana.....
2026-06-06 07:27:03
2
abuuabdiljaliil :
Dah wallaah shekhee mubaarak awes mm nakupenda sana wallaah
2026-06-06 19:37:56
1
Ally Namata :
inshallah
2026-06-05 17:38:28
2
#جمع بن سلام :
jazakallahu Khair sheikh
Allah atufanyie wepesi na aturudhuku wake wema insha Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
2026-06-09 10:46:02
1
chefAmir :
yarabi tujalie sahalii yarab tuoe
2026-06-11 22:39:50
0
EL AbdouL :
dah. 🥺.
2026-06-15 12:09:16
0
Safia :
S A W
2026-06-15 16:19:24
0
Mushrif Salim :
shekhe asalam aleikum shekher me nakupenda kwajili ya allah na nayapenda sna mawaidha yako namuomba allah aniwezeshe siku moja nikutane na wewe
2026-06-15 08:23:32
0
_remmy_60_ :
Allah atujalie wake wenye kheri na sisi
2026-06-14 12:35:33
0
Muhammed makubuli :
amin
2026-06-14 11:57:08
0
AR :
amin
2026-06-09 15:13:29
1
To see more videos from user @sheikhmbarakahmed, please go to the Tikwm
homepage.