@hassan_tz3: #fyp #nbcpremierleague🇹🇿 #tiktokfootball #tiktoktanzania🇹🇿

🩸HASSAN⌚️🎯
🩸HASSAN⌚️🎯
Open In TikTok:
Region: UG
Friday 05 June 2026 05:25:47 GMT
57124
1790
196
56

Music

Download

Comments

donimuya
George BD :
WACHAMBUZI UCHWARA Fanyeni Utafiti Kwanza Irizar ni watengenezaji wa body ambazo zinatumia engine/chassis za SCANIA, Mercedes-Benz, Volvo na MAN. Nimezipanga kulingana na ubora: AZAM basi lao ni Mercedes-Benz SIMBA Basi lao ni Scania
2026-06-06 04:57:28
19
ismajjuma
ISMAIL JUMA :
iriza zipo model nyingi kuna benz, volvo, scania, nissan n.k km hujui maana ya iriza kaa kimyaa
2026-06-05 20:21:12
11
andrewmwakikato
andrewmwakikato :
sscania...irizar.scania malcopol irizal bord ..malcopol bord
2026-06-05 19:27:14
1
sal__1987
Mpinga_aL Capone :
Acheni ujuaji mwingi gari husajiliwa kwa model ya engine iliyopo kwenye gari...Irizar ni wajenzi wa body ila Scania ndio inabeba jina ktk usajili. umeona wapi kadi ya gari imeandikwa Andare au Paradiso...?
2026-06-05 20:05:22
17
kuhani46
KUHANI :
Salamba wewe hujui kitu, basi hilo ni Engine na Chasis ni Scania. Irizar wamejenga body na decoration.
2026-06-06 07:17:40
4
major.kiddie
Major Kiddie :
Kwani la Azam lilisajiliwa Mercedes Benz au Irizar?
2026-06-05 18:44:18
8
24jonasi
24jonasi 🇹🇿 :
wote hawajui kitu masikini ya mungu wakaangalie ya azam mbele kuna irizar nyuma kuna benz sasa azam wamesajili vipi
2026-06-06 06:05:47
2
muftndoss
muft tz :
aiseee kutokujuaaa ni kitu chaa ajabuu sana Irizar ni wana deal na chassis pamoja na bord ilaa Scania yeye yupo kweny mfumo wa engine gearbox pamoj na diff
2026-06-05 22:07:50
3
mogelamgembejr
MGEMBE🧢 :
IVI JAMANI SALAMBA ANAAKILI KWELI
2026-06-06 01:46:53
2
user5746681823637
Samuel :
IRIZA, MARCO POLO hizi Body brands, ndiyo masna haya TATA buses zipo Marcopolo, hiyo ya Simba no Scania kwanini msiulizie TRA? Watawaeleza.
2026-06-06 05:38:49
1
hussein.bora7
HUSSEIN BORA :
Mmh acheni hayo mambo chambueni mpira
2026-06-06 04:16:14
0
khalifa.mwinyigoh6
KHALIFA MWINYIGOHA :
Irizar has signed a collaboration agreement with Scania Deutschland to offer its Irizar - Scania range of coaches.
2026-06-05 19:14:21
1
bright0723
Brighton Renatus :
Dah yaani hawa wamekaa kabisa wanajadiri hii topic!!!
2026-06-06 01:03:55
1
user0758504026
user0758504026 :
hakuna jibu hapo good bay
2026-06-06 04:25:00
0
hassanyhassan8
HASSAN HASSAN :
hs code ya bus inaangaria seating passangers capasity so hesabu itapiwa kwa aina ya body ambalo ni irizar
2026-06-05 19:45:33
1
omary.bopary
Omary Bopary :
hahahahahahahahaha huuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiii😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭🤣🤣😭😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-05 17:58:21
0
amas_96
Amas :
Scania ameunda Engine na Chassis na Gear Box. Irrizar kavisha Body. Mnajifanya mnajua kumbe bure tu. Bus body builder maarudu duniani ni Irrizar na Marcopolo. mabus kuna Scania, Mercedes, volvo nk.. Mnakera
2026-06-05 22:40:10
0
hu_ms29
حمود :
sio ilizar ni irizar 6i
2026-06-05 20:54:16
0
jacob.stephan.ste
Jacob Stephan Stephen :
hapa kuna Nissan toyota
2026-06-06 00:50:46
0
godfazaenock
Godfather Masawe :
hi ni mada ya TATA na MARCO POLO
2026-06-05 21:42:21
0
ozilameri
ozil dady :
hakuna gari inaitwa irizar
2026-06-05 23:26:32
1
user22591999
Mons Rajab :
mtasema😂😂😂
2026-06-06 08:26:00
0
danny.wise96
Danny Wise :
mnachambua mpaka Bus, daaah😅😅😅
2026-06-06 08:25:09
0
kuntakinte4
Kuntakinte... :
iko hivi hilo ni jambo la kawaida sana .Irizar wamespecialize kwenye body and luxurious kit of the body and Scania (manufacture) Chassis
2026-06-06 09:26:27
0
wahidsalim143
salim :
irizar ni kampuni ya bodi tu hiyo ni scania na iyo ina engine ya scania model 95 power 360
2026-06-06 08:42:53
0
To see more videos from user @hassan_tz3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About