Edu Edwardo 001 :
Mwalimu kusema kweli umeokoa nafsi yangu,,leo tarehe 6/6/2026 waislamu walikuwa wamenirai kuingia katika dini yao na kunisomea maandiko,,mpaka nikawa nimeamua kuingia,,,ilikuwa nishirikishwe katika kuslimu leo,,lakini kwa Bahati ya Mungu nikakutana na video yako ukisema huko ni jela,,,imebidi nimekataa wito huo,,,Mungu akubariki sana,,na zidi kutufunza kuhusu imani yao.🙏🙏🙏
2026-06-06 08:45:51