@__annie96: #22AndFamous #magaunimtumbagradeone #magaunimtumbamazuri #usiritransportationservices @prince🤓

Annie Trends🎀
Annie Trends🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 07:19:37 GMT
154808
1539
155
165

Music

Download

Comments

ray_faustine
Mama T Collection :
hapa ni mzigo wenye ukubwa wowote ama mizigo midogo midogo?
2026-06-05 08:00:08
7
dorice7877
Dorice :
upo Eneo gani
2026-06-06 08:44:11
1
micford4960
micford4960 :
Name of this song
2026-06-06 15:08:03
0
chumadede202
chumadede :
korogwe,muheza,handeni 7000,alafu moshi,arusha 5000 ikoje hii
2026-06-06 07:44:44
2
leoroyalhome
Leoroyal_home :
mkiweka ivyo sidhani kama mmesaidia au mnataka kutupa tabu2 kuwaelekeza wateja. wekeni na namba zenu za simu wawe wanawapigia kuwauliza bei na ikiwezekana muelewane kabisa nyie na mateja mzigo ukifika mnaelewana analipa mnamtumia. mngefanya ivyo ingekuwa vizuri sana lakini kwa kuweka ivyo2 hii ni vita ya muuzaji na mteja kuanza kueleweshana.
2026-06-06 09:50:14
1
nicely609
🦋NICELY FASHION🥀 :
mbn dar sijaona
2026-06-05 16:51:16
1
eng_noboka
Eng. Noboka :
kwenye kusafirisha simu mbona hamfati hizo bei
2026-06-06 04:40:53
1
mdadawamakamo
Dadawamakamo :
Mbona juz nimetumiwa kwa Afu kumi?
2026-06-06 05:42:12
1
watupoacouple
watupoa-couple :
bukoba huwa napokea kwa 15 mzingo wa kawaida mkubwa kias ni 20
2026-06-06 07:29:42
1
invyo_collection_store
invyo_collection_store :
mmh hapa mmenikosa mbeya 🙌🏽 hadi mtapoturudishia afu tano kwan
2026-06-06 11:46:31
2
yarseen7
yarseen mustafa :
kilo 100 mbeya-dodoma bei gan
2026-06-06 15:10:41
0
conquerbrave
Conquer :
Chato unakuja hadi chato kabisa au unaishia Bwanga??
2026-06-06 04:39:31
1
roty0624
roty0624 :
asa chato inakuje 150000,afu bukoba 10000,wati bukoba iko mbele ya chato mwishoni kabsa huko🤣🤣🤣🤣
2026-06-06 07:22:52
1
itisme_ge
♪♪¢@ :
mim8 nimewaza hapo bagamoyo na arusha , alafu arusha na babati, tunapigwaaaa au hao watu huagiza mizgo mikubwa🤣🤣🥰
2026-06-06 05:50:23
1
mc_sindwendwe
mc sindwendwe :
shiyanga ndio wap
2026-06-06 09:15:43
0
lastborn8makula2
Travela chapter 8 :
mmmh Hawa watu Hadi nirihic nimetapeliwa mzigo wang asee imagine mzigo ulichukua siku 4 kutoka dar to Arusha akiiii hapana🙌🙌🙌🙌
2026-06-06 12:31:29
1
deegee298
deegee298 :
Saiv mnaenda kila mkoa
2026-06-06 10:09:55
0
23devine07
🕊️ :
sioni biharamulo 😅
2026-06-05 17:10:32
0
dr.amore4
dr.amore :
72 ni MGUMU ya wapi
2026-06-06 06:38:55
1
dolphthlix
Dolphthlix99 :
me nliambiwa mbeya 5k
2026-06-05 16:43:06
1
bebecool73
bebecool😘 :
Kutoka dodoma kwend kigoma huduma ipo
2026-06-05 14:49:03
1
grecious.kimambo
Grecious Kimambo :
mbona mpanda katavi na Songwe haipo
2026-06-06 03:32:27
1
phili.lorry
P :
kutoka Dodoma kwenda karatu
2026-06-05 14:21:21
1
stylenaade
stylenaade :
hivi unaweza kuhamisha vitu vya ndani kuhamia mwanza
2026-06-05 15:38:26
1
xpowermanplus
Man power solution :
Bas linalotoka dar to arusha ni Sawa na linalotoka dar to babati sasa mbn bei tofauti au mnaangalia vigezo gani mbn mnayumba usiri kampuni yangu
2026-06-05 18:00:07
4
To see more videos from user @__annie96, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About