@lucianakp22: #utupe nguvu Baba🙌#goviral

Being MomG
Being MomG
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 07:53:58 GMT
73570
2873
97
30

Music

Download

Comments

rhodahoma
nioni :
Mungu akutie nguvu na ujasiri wew unaepitia mambo magumu
2026-06-05 15:56:13
100
bintiwayesu01
BintiWaYesu :
Watu wanapitia mengi,YESU akamguse kila anayemuitia🥺
2026-06-06 07:46:24
5
penina.leuna
Penina Leuna :
watu wanamengi mioyoni😭😭
2026-06-05 17:32:56
56
filbert.jailos
yogurt bd :
huyo mtu n mm😭😭✋️✋️
2026-06-06 06:41:02
10
liliankaaya606
Lilian Kaaya :
me sijalala usingizi wa usiku week ya pili sasa lakini naamini MUNGU atanivusha🙏
2026-06-05 20:15:26
25
josephjohnpaul6
TUSA :
watu wanapitia mambo mengi magumu yasiyo na majibu ila yupo Mungu atupae faraja na nguvu ya kushinda magumu,usikate tamaa mtumaini Mungu,muite nae atakuitika
2026-06-06 08:33:15
2
dottomasanja233
MASANJA OG :
😢😢Tunapitia mengi sana ni neema ya mungu tu inatulinda
2026-06-06 09:22:55
1
kimlee78140
prety tasha🐾 :
m mwenyew ningeanzaa kulia nikikusany shida zangu mungu ndo anajua
2026-06-06 05:36:20
2
dayana02257
dayana02 :
Dereva nahis n yule mama yaan n enjoy sana kupanda gari anayoendeshaaa 🥰
2026-06-05 17:54:56
4
kimandai1
kimandai1 :
Kuna Mwendokasi ya saa mbili to tatu ucku abiria wanaimba nyimbo huwa zinagusa sana. Mungu ambariki pia yule mtumishi alikuwa ananda kibanda cha mkaa anahubiri pamoja na kuimba nyimbo huwa ni baraka sana
2026-06-05 18:01:41
10
patricia.labia7
Patricia Labia :
Mungu utupe nguvu maana neno lako ndilo nguvu yangu Baba.
2026-06-06 04:41:28
3
nonokulwa
nonokulwa :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-05 22:17:30
3
erick_kantona01
Erick kantona :
naombeni jina la wimbo 🙏
2026-06-06 05:17:26
1
adorable.rachel0
🌸🎀N.i.c.e❤️‍🔥🦋 :
Huyo abiria ni mimi🥺
2026-06-05 20:00:10
2
mbuguni21
halima mbuguni :
huwaunanipamatumain sana iiih nyimbo
2026-06-06 05:33:33
0
paulhubety8
paulhubety8 :
watu wanalala na maumivu wanaamka na maumivu wanashinda na maumivuu na wanalala tenaa na maumivuu ila usoni wanacheka
2026-06-05 21:59:28
4
lucychenguang
lucy chengula :
ringtone yangu🥰 nnapochoka nacklza
2026-06-06 03:39:45
1
wemawiston30
Wema Wiston :
ameen san
2026-06-05 21:34:05
1
angelonesmo5
Angel Onesmo :
Ata mim ningelia sana😭😭😭
2026-06-05 10:10:34
3
miriamu.mbonea
Miriamu mbonea :
Hata mm niko nalia
2026-06-05 18:19:10
2
lynekim20
lynekim :
watu wanapitia mengi.🥺
2026-06-06 04:12:49
1
lucianakp22
Being MomG :
Hatariiii
2026-06-05 12:47:12
2
marryjacob542
Mary Lugata♉️ :
Aiseee huu wimbo nina historia nao🙌😭😭
2026-06-05 21:21:40
1
emmykimbwe
emmykimbwe :
Hakika tufariji teeena neno lako ndio nguvu yetu😭😭
2026-06-05 21:34:41
1
user4190253783676
wambura mamu :
watu wanapitia magumu alafu wapo kimya wanaumia ndani Kwa ndani eee mwenyezi mungu tufariji wanao🙏
2026-06-05 21:10:58
1
To see more videos from user @lucianakp22, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About