@anclassicbusservice: Kutoka Tabora hadi Dar es Salaam kwa usalama, faraja na uhakika. Wazazi na wanafunzi karibuni kusafiri nasi katika kipindi hiki cha likizo. Huduma bora, safari tulivu na kufika kwa wakati ni kipaumbele chetu. Safari na sisi — salama nyumbani, salama njiani. Tabora ↔ Dar es Salaam@yusuph omary @ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 @ALL ABOUT BUSES TZ🇹🇿 @chid____Tz🇹🇿 @afisausafirishaji