@akili.education: 🚨 TAHADHARI: FORM 4 ASIENDE ADVANCE UNAMCHELEWESHA 🚨 Selection za wanafunzi waliomaliza Form 4 mwaka jana zimetoka. Wengi wamechaguliwa Diploma. Wengine wamechaguliwa Advance. Sasa jiulize swali moja tu... Kwanini serikali imeamua kuweka kipaumbele Diploma kuliko zamani? Ukishamaliza kujiuliza... Endelea kusoma. Tatizo la wazazi wengi ni kwamba bado wanaamini njia pekee ya kufika Degree ni: Form 4 → Form 5 → Form 6 → Bachelor Degree Lakini dunia imebadilika. Leo hii kuna njia nyingi zaidi za kufika chuo kikuu. Na baadhi yake ni fupi kuliko njia ya kawaida. Nimekutana na wazazi wengi ambao watoto wao wamepata Division nzuri Form 4 lakini bado wanasisitiza waende Advance hata kama hawana uhakika wa kozi watakayosoma baadae. Miaka miwili inapita. Mtoto anamaliza Form 6. Halafu ndipo safari ya kutafuta kozi inaanza. Wakati huo wenzake wengine tayari wako mwaka wa pili au wa tatu chuoni. Kwa wanafunzi wa Business na Arts, moja ya njia fupi zaidi duniani ni Foundation Programme. Nchini Dubai na UK, mwanafunzi anaweza kusoma Foundation kwa mwaka mmoja tu na kuingia Bachelor Degree. Ndiyo, gharama zake ni kubwa zaidi, mara nyingi kuanzia dola 15,000 kwa mwaka na kuendelea. Lakini muda anaookoa ni mkubwa sana. Kwa upande wa Diploma, kuna jambo ambalo wazazi wengi hawajui. Kama mtoto wako alikuwa na hesabu O-Level, moja ya Diploma zenye future kubwa sana ni: 💻 Diploma in Computer Science Hii si diploma ya mazoea. Ni diploma inayoweza kufungua milango ya: 🤖 Artificial Intelligence 🔐 Cyber Security 📊 Data Science ☁️ Cloud Computing na taaluma nyingine nyingi za teknolojia zinazokua kwa kasi duniani. Kupitia Akili Education, Diploma in Computer Science inapatikana nchini India. Ni ya miaka 3. Na gharama yake ni kuanzia: 💰 Milioni 8 kwa mwaka ikijumuisha: Ada, malazi na chakula. Baada ya diploma, mwanafunzi anaweza kuendelea moja kwa moja kwenye Bachelor Degree ya teknolojia yenye future kubwa duniani. Hakuna maamuzi makubwa utakayochukua mwaka huu kama mzazi kuliko kuamua mtoto aliyemaliza Form 4 aende wapi. Maamuzi hayo yanaweza kuathiri miaka 10 au 20 ijayo ya maisha yake. Usifanye maamuzi kwa mazoea. Fanya maamuzi kwa taarifa. Karibu Akili Education tukuongoze usije kupotea. 👇 Comment neno "DIPLOMA" tukutumie muongozo wa options zinazopatikana kwa mwanafunzi wa Form 4.
Akili Education
Region: TZ
Friday 05 June 2026 09:08:36 GMT
Music
Download
Comments
Kessy Sadalah :
kwani anawahi wapi!!??? ambapo tunamchelewesha?
2026-06-05 10:30:07
90
6 :
akisona advance anakuwa marketable zaidi pia anakuwa na knowledge kubwa kuliko wale wa diploma
2026-06-05 11:48:17
35
Verc :
U cant compare diploma and Alevel
Advance is the best
2026-06-05 14:12:34
1
Palm🌴 T Co Ltd. 🇹🇿 :
Wanangu wa Advance gonga like🔥🔥🔥
2026-06-05 16:31:04
23
Godfrey Lawranc :
mtoto wangu hataruka kipengele ataenda ata ingekua kuna form 7
2026-06-05 14:51:31
23
brelian05✨ :
Awaulize diploma wanavyoteseka huku degree
2026-06-05 12:58:54
15
dasai :
advance haicheleweshi inamjenga kijana ktk mambo mengi.na advance inampa kijana wako ujasiri.
kwenda diploma kwa kuanzia certificate unamchelewesha mtoto kupata degree
2026-06-05 13:39:35
9
Sasha🇹🇿 :
Kama hulipi ada ya chuo ni rahisi kusema hivyo. Ila kwa wazazi wengi kumpeleka mtoto advance ni kwakuwa kuna matumaini ya kupata mkopo akienda degree. Kulipa ada ya chuo kuanzia certificate mpaka degree sio kila mzazi anaweza
2026-06-05 17:09:42
6
The navigator :
kama ni wakike acha aende advance
2026-06-05 12:31:33
14
Bernaa :
Advance ni moja ya stage ktk ukuaji
2026-06-05 18:36:27
5
GIFT :
Mtoto wangu mwakani form 4 na mwezi wa tisa mwakani pia ndio anaingia miaka 15 sasa diploma kweli kwa umri huo😳
2026-06-05 14:11:26
5
Goose :
diploma ya clinical nimeajiriwa afu kuna rafik angu MD ya 2020 yupo anajitolea maisha hayachagui ukiwahishwa wahi
2026-06-05 13:56:09
4
🦋kidon7🌹 :
kwani anawahi wapi mwenetu😁
2026-06-05 13:00:55
3
Jj Kk :
mimi mwanangu namfundisha mwenyewe degree Nampa kilimo uko ni kupoteza muda mwingi kua kilaza
2026-06-05 11:37:27
5
hadijaselemani240 :
mwanangu ana 4 ya 26 anataka kusomea machinical
2026-06-05 11:06:23
3
Khadija Kashinde :
Mwanangu anamiaka 16 amepangiwa kwenda Advance hataki anataka kwenda chuo yani sijui wana haraka yanini hawa watoto
2026-06-05 15:30:40
1
Agape Worship Center :
😎 15yrs Anachelewa kwenda wapi??
2026-06-05 14:29:58
1
Tishy Ibbery :
DIPLOMA
2026-06-05 15:45:39
1
rosejustine22 :
diploma
2026-06-05 14:45:43
1
natty :
Diploma
2026-06-05 15:42:58
1
FUNDI~Dealers all car spear :
DIPLOMA
2026-06-05 15:04:39
1
lilian♥️🌹 :
DIPLOMA
2026-06-05 16:12:51
1
shekoh baby P34 :
kama ni mekwa sawa,kwani wanawahi wanaenda wapi?
2026-06-05 17:08:04
1
***G.warah warah***4u :
Asante kwa ushauri🔥🔥🔥
2026-06-05 14:30:16
0
Judith Kileo :
Form 4 wa sasa hv wadogo jaman imagn mwanangu kamaliza six na 18 na sasa yuko 19 na digree ya kwanza ni raha veeep nackia
2026-06-05 12:56:32
1
To see more videos from user @akili.education, please go to the Tikwm
homepage.