am a firstborn also, na tatizo nipo nalo nyumbani, istoshe anasababisha mama yangu anifukuze nyumbani na mwanangu mgongoni ingali anajua sinapakwenda, sina kazi, sinamsaada wowote😢😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-24 13:02:28
3
J®️€ :
follow back
2026-06-24 13:38:43
0
G….❤️🦋 :
Sio uwongo ni kweli Mungu mwaminifu sana
2026-06-24 07:18:25
3
Magdalena Msuya :
utayapita yote hayaa
2026-06-24 12:46:24
0
Nahyapretty😍 :
nimeshindwa Mimi🥺😭
2026-06-24 17:30:18
0
❤️🦋💞💝 :
Usijali baby utasahau kama utakuwa tayari mwambie mungu akusaidie kusahau then kilakitu kitakuwa sawa
2026-06-24 16:57:06
0
ₐₛₖₒ𝒻ᵤ ✝️ :
NAOMBA NKUPENDE ❤️
2026-06-24 09:31:44
2
wityney :
apo kwenye kuachilia 😢 nashidwa jaman
2026-06-23 11:53:42
4
LM TOTO SHOP :
Kweny maombi yenu mniombee na mm niweze kuachilia na kusahau maanaa nauchungu sana
2026-06-24 06:30:10
4
lizzy :
kuachilia ntaachalia ila apo kwenye kusahau ndo siwezi kiukweli🙌
2026-06-23 14:09:37
0
🕊️ it's Joan 🦋 :
amina
2026-06-24 10:07:57
1
Devotha Daud :
2026-06-24 11:21:37
0
💦REBECA⚜💦 :
fact sisy😍
2026-06-08 17:08:21
1
lucky star :
AMEN
2026-06-24 15:27:27
0
finnestgal :
Kwenye kuachiliia sas 🥹🙌🏾
2026-06-05 16:40:45
1
Rose 🌹 :
amina
2026-06-24 14:10:45
1
G twiga🦒❤️ :
Kabs
2026-06-24 12:40:14
0
Lulu ♥️🦋 :
how mnaweza mbona ni ngumu🥲
2026-06-23 17:27:48
1
cute sapnah🌹 :
me mgeni jmn huku ndo kanisani au ?🤷
2026-06-24 11:42:59
1
Isha bebe :
kuna muda napuuzia kuna muda maumivu yanarudi upya sijawah kumchukia mtu kwenye maisha yangu ila kuna watu wanaboa sanaa🥺
2026-06-24 18:47:33
1
fatma 🧕🏼🥰🦋 :
mi nimeachilia toka darasa la3, Lakin mpka. ssa sijasahu
2026-06-24 12:17:28
0
calitha :
🥰🥰🥰
2026-06-24 15:00:53
0
@frÏCãn boy😎 :
❤️❤️❤️
2026-06-22 08:21:54
0
To see more videos from user @aggi043, please go to the Tikwm
homepage.