@dtzmedia: Tazama simba hiki chuma wamepata ahmed ally 😂🔥

DTZ MEDIA
DTZ MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 09:26:29 GMT
280970
15064
535
461

Music

Download

Comments

gulfgir0
Oman vs tz🤞😜 :
Yaani huyu ndie alie ifanya nisaliti yanga nasasa mm Ni simba😍😹😹
2026-06-06 04:08:55
427
wwfgeorge
dogo George :
toka nimehama yanga na kuja Simba. MKE WANGU ananipenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-07-06 08:55:29
62
addy.victor8
addy victor 🦋 :
🤣🤣🤣Akihama simba tunahama nae
2026-06-06 07:00:26
166
user7414346166185
user7414346166185 :
viongozi wa simba muongezeni Ahmed ally mkataba wa miaka mia ndani ya simba mkimuacha na sisi tunahama simba hilo mlijue viongozi wa simba
2026-06-05 17:49:13
285
kiba.jr56
Kiba Jr :
kama unamkubali ahmed ally gonga like
2026-06-10 20:55:35
187
mcmicharazotzgmail
[email protected] :
naamia simba
2026-07-09 10:47:32
8
jaybusinessman2
Jay home store :
Mashine ya kuongea ❤️❤️❤️❤️big up mnyama
2026-07-08 08:53:03
11
allybey60
Ally bey :
🤣🤣🤣simba ni ahmed ally
2026-06-13 08:14:08
26
naimaabdalah295
naimanai :
huyu jamaa hajiamuliii tu anajipa mamlaka kabisaaaa
2026-06-06 05:10:09
73
john.bboy
John bboy :
nakubari semaji
2026-07-06 06:54:07
10
nadhifa4491
nadhifa4491 :
Ahmed mwenyezi mungu akulinde wekaka
2026-07-05 20:50:46
26
user366560799047
leahnchenya@mail :
huyu ndyo semaji la kimataifaaa❤️❤️
2026-06-10 05:50:14
31
emmanueljr350
EmmanuelJr :
hii siku Ahmed alichafukwa sana 😃😃
2026-07-08 08:47:28
5
liliwaini.saimon
Liliwaini saimon :
huyu ndie kanifanya niipende simba hakiamungu Tena 🥰😂
2026-06-21 08:39:02
9
jenykazumba
Jeni kazumba❤️ :
Msemaji tunaye na tunatamba Naye❤️❤️
2026-06-11 14:37:48
31
mrwillytonn
Mr willy tonn👊💪🦁 :
😀😀 kwer man
2026-07-03 07:50:46
7
makwinti
pacha ster :
kauna unakubali maneno ya semaji gonga hapa
2026-06-10 07:49:46
14
user1427674810288
JOELY ♡ OSODO :
me shabiki wa Simba kwanzialeo wanasimva ni pokeeni🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-17 21:08:51
8
user5316635159103
devidjulius :
tunae mwombea msemaji wetu like apa
2026-06-17 15:18:47
7
hussein.mfinanga15
Dkt pablo mfinanga :
Mungu akulind semaj we2🥰
2026-07-05 06:49:56
6
officialmarthag1
Martha G :
Huyu ndio msemaji wa fact haongeagi hongeagi tu 😅😅😅😅
2026-06-05 20:55:53
58
kaka.mkali
kaka mkali :
we mwanangu umeipata wap hii content
2026-07-06 07:15:31
15
amosmwenda3776
Baba Addy :
Ahmed Ally anafurahisha akiwa msemaji wa team yako😅😅😅😅😅
2026-06-21 07:46:46
5
davidiganja10
iganja brand 💯💯 :
ila siku hiyo semaji lilitema cheche
2026-06-06 05:25:32
18
1234robertsopoly
SOPOLY TZ :
siku hiyo walikuwa wamekuvuruga wapi semaji
2026-06-05 22:07:19
55
To see more videos from user @dtzmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About