@isack.pate: Mapenzi ya kweli hayaanzi kwa ukamilifu, yanajengwa kwa uvumilivu, heshima na kuchaguana kila siku. ❤️ Mtu sahihi si yule asiye na kasoro, bali yule anayekupenda licha ya kasoro zako. #LoveQuotes #RelationshipGoals #TrueLove #Mapenzi #FYP