@lolojikoni: Homemade Series Part 1: Cooking Pastes Na gharama za vitu zilivyoongezeka, ukinunua kila kitu cha dukani au supermarket, utajikuta bajeti inashoot sana, au ni mimi tu ubahili wangu?😂 Recipe E-Book ya Pika na Lolo sasa inapatikana kwa soft copy. Hii si e-book ya kawaida… Iwe wewe ni beginner au unatafuta ideas mpya jikoni… hii ni kwa ajili yako 👩🏽🍳🔥 💰 BEI YAKE NI: TZS 20,000 TU 📌 JINSI YA KUPATA E-BOOK: 1. Tuma malipo kupitia Mixx by Yas: 0717-475187. Jina litakuja Glory Lema. 2. Tuma ujumbe wa malipo + email address yako kwenye namba hiyo hiyo. 3. Utatumiwa e-book kupitia Google Drive (view-only) 🎁 BONUS: Kila atakayenunua ataingia kwenye community ya kipekee kwenye WhatsApp ambapo nitakuwa nashare: ✨ Tips & tricks zaidi ✨ Feedback ya mapishi ✨ Content za kipekee Usichelewe… watu tayari wameshajipatia za kwao🔥 #recipebook #cookingpaste #homemade #swahilifood #lolojikoni