@bbcnewsswahili: El Niño inakuja. Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) umetoa tahadhari dhidi ya El Niño, wakitangaza kuwa kuna 80% ya ya kutokea kati ya Juni na Agosti 2026 na uwezekano wa zaidi ya 90% wa kudumu hadi Novemba 2026. Na mwaka huu, inaonekana kuna uwezekano mkubwa kuwa itakuwa kali zaidi kuliko kawaida. @i_am_isabella_kituri anaelezea zaidi #bbcswahili #fyp #fy #elnino #haliyahewa #wmo #UN
bbcnewsswahili
Region: TZ
Friday 05 June 2026 12:07:45 GMT
Music
Download
Comments
githee Fiti :
sisi tunajenga quarantine facility,elnino hatuna habari
2026-06-05 18:01:29
48
Mike N. :
Isabella wueeh long time no see.
2026-06-05 19:36:58
8
Bonface Wachira :
Isabella Kituri👍
2026-06-05 17:53:21
20
Ontarget Safari :
Mvua ya mwezi june sijawai ona ya maafuriko hii mpya
2026-06-05 19:05:57
2
Gem :
baby girl where did you go?
2026-06-05 19:14:19
1
المكرن :
talented and amazing Isabella 🥰
2026-06-05 18:12:56
2
mwandan :
Hi Isabella
2026-06-05 17:48:37
2
jacksonwanini :
huyu alienda wapi
2026-06-05 19:50:34
1
dm zeph😘 :
Mombasa ishaanza
2026-06-05 19:54:29
1
Leila shwaaah :
Allah atulinde maana yeye ndo anaye juwa yote
2026-06-05 14:43:55
10
Dennoh :
Isabella Kituri
2026-06-05 19:18:44
1
Ayo_PhD :
kheeee tenaaaa
2026-06-05 12:13:40
3
SOUL TAN MASOUD :
hii ni ya lini?
2026-06-05 18:39:09
0
J. M. W 73 :
uongo... in Kenya we have NEVER experienced rains in June, July neither August.
2026-06-05 18:04:56
0
Dinero :
apana please. we need rest
2026-06-05 18:44:04
1
catenly_bu :
Esther!...( Tushauriane)🥰🥰🥰good to see ( celeb)🥰🥰🥰
2026-06-05 20:43:09
0
Steevo 3036 :
what about uganda
2026-06-05 20:35:26
0
lee :
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-05 16:39:08
2
lizzx :
mvua na sisi,wote ni wa Mungu.atatupanga
2026-06-05 18:58:41
1
user3340213692318 :
Isabella ulienda wapi? I miss your voice.
2026-06-05 18:16:34
1
victor :
oooh lord tena
2026-06-05 14:11:24
1
hivi mnajuaje mnawasilia namungu nyie
2026-06-05 15:55:09
1
fenny :
ghai long time Isabella❤️❤️❤️
2026-06-05 20:36:26
0
kommanda :
Isabella mwagidi
2026-06-05 18:06:38
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.