@samsonernest_: Mch. Daniel Daudi akielezea ushuhuda wa maisha yake ya zamani wakati huo anaitwa Ostadhi Mwidini huku akiwa ni jambazi sugu ambaye anatumia uchawi katika shughuli zake za ujambazi lakini siku moja alikamatwa na kupelekea kufungwa gerezani miaka 30 na akiwa gerezani aligundulika pia ameathirika na UKIMWI lakini baada ya kukutana na Mnazareti Yesu akamponya kabisa na kumtoa gerezani. Jamani Yesu ni mbabe nyie🙌 #UamshoAgendaYetu #2026MakambiYaSection
Yesu hajawahi kushindwa Yale tusiyoyaweza Yesu anaweza🙏🙏🙏
2026-06-05 13:16:54
52
user388549489369 :
Hallelujah
2026-06-05 18:39:57
2
Kadala :
Huyo ndio YESU mnazareth huyoooo ndio Niko ambae Niko Yesu ni Mwamba ulioshindikana Asante Shujaa wa msalaba kwa Neema kubwa ulionipa kunichagua kua raia wako 🥰🥰🥰
2026-06-05 12:45:14
77
Tanzania patriotic :
Yesu ni Mungu anatisha sana
2026-06-05 18:11:13
18
user5966317379883 :
yesu ni yeye yule jana leo na hata milele kama unaamin gonga like
2026-06-06 04:58:19
8
it,s cecy@20 :
JESUS IS KING 👑👑
2026-06-05 18:24:55
10
V S S MEDIA :
Bwana Yesu asifiwe
2026-06-05 18:20:20
19
Juya😜 :
YESU ni MUNGU 🙏
2026-06-05 20:56:36
12
upendoalbat :
🙏yesu ndo kilakitu kwenye maisha yangu
2026-06-05 19:14:59
10
G-BOY BIG BOY :
mbona video vipi tupe mwendelezo
2026-06-05 16:21:07
7
phinah :
YESU ni mzuri Sana wapendwa 🙏🙏
2026-06-05 20:03:11
8
Epiq Stoo :
YESU NAKUPENDA U MALI YANGU🙏
2026-06-06 00:04:04
4
user9596577752910 :
sio kweli 😅😅😅😅
2026-06-05 18:51:07
2
tonymabe :
ooh pastor dani mungu akubariki
2026-06-05 18:19:30
5
Chiamaka♥️ :
We Do Jesus ♥️
2026-06-06 01:37:37
0
DreamSkin Tanzania :
Jesus Lord❤️❤️❤️
2026-06-06 00:47:31
0
Severa Mmochi :
hallelujah 🙏
2026-06-05 19:31:04
1
Pretty 🥰 :
YESU ni Bwana Hallelujah
2026-06-06 04:04:09
4
user7713985082410 :
Nampenda mno huyo Yesu
2026-06-06 04:02:54
3
Rodney Mwakimage :
Pastor Danny wa TAG kange Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
2026-06-05 21:10:50
4
Miss_hellen :
nakumbuka uyu baba alikujaga miaka ya 2010 kuhubiri makongo nikiwa mdgo sana aisee Mungu amtunze na ushuhuda wake ni huuhuu 🥰🥰🥰🥰
2026-06-06 04:18:42
2
Gift Almasi 254 :
Bwana Yesu asifiwe Wakiristo wenzangu....🥰🥰🥰
2026-06-06 04:30:28
2
catma_lady :
Mungu azidi kukubariki na kukuinua na kukutunza uzidi kukua katika Imani. Mungu akubarikii Amina 🙏🙏
2026-06-06 05:15:52
1
Vummy Ngowo :
nampenda Yesu sana
2026-06-06 04:28:42
1
To see more videos from user @samsonernest_, please go to the Tikwm
homepage.