@bongofive: Kupitia Recap na Mando @el_mando_tz ameongelea Ngoma ya Utanione ya @officialalikiba na @harmonize_tz na kudai kuwa ni nyimbo ya kawaida kwenye suala la Uandishi baina ya wasanii hao wakubwa Tanzania. Kuangalia Uchambuzi Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 13:07:05 GMT
6613
443
16
5

Music

Download

Comments

243maggyart
MAGGY ART :
final niya bien asa kwanini huwa muna nyongelea alikiba
2026-06-05 14:52:06
0
peterson_7799
Peterson_779 :
sure
2026-06-05 13:28:00
0
demmartez
Demma artez :
Follow me please 🙏🏾❤️
2026-06-05 13:16:22
2
zungu_honey
Zungu🥰Honey❤️ :
wanafeli katika video
2026-06-05 14:04:23
0
kama_kasaa
Kasaa.tz🇹🇿💯 :
Hapo kweli
2026-06-05 14:48:19
0
ellyb12345
Ellyb :
Finale ni ya bien banaa sio ya kibaaa 😂😂
2026-06-05 15:02:48
0
wordsonaisea
Wordson Aisea :
Ukiacha unafiki utajua ngoma ni mbaya mnoo..!!!!
2026-06-05 13:24:58
1
user6677827551055
husienmwabege :
ww ni chawa pia
2026-06-05 14:07:37
0
twaah.kijonter
Twaah Kijonter :
hata hiyo finale yakawaida tu kwa watu wanaojua mzk wanaelew
2026-06-05 18:21:39
0
toto.vevo.ok8
TOTO VEVO :
🥰🥰🥰
2026-06-05 13:11:06
1
steveanord16
kikolo jr :
😅
2026-06-05 13:17:00
1
noshirt45
mr edward :
🥰🥰🥰
2026-06-05 13:25:14
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About