@swahili_digital: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya uchumi wa dunia, baada ya kushiriki Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg nchini Urusi. Jukwaa hilo limewakutanisha zaidi ya washiriki 24,000 kutoka zaidi ya nchi 140, wakiwemo wakuu wa nchi, wawekezaji na viongozi wa makampuni makubwa duniani. Kupitia ushiriki huo, Tanzania imepata fursa ya kutangaza vivutio vyake vya uwekezaji katika sekta za madini, nishati, utalii, kilimo na usafirishaji. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha biashara na uwekezaji katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Swahili Digital
Region: TZ
Friday 05 June 2026 14:20:23 GMT
Music
Download
Comments
Salmin Hamis :
mbn hujasema kilimanjarooo
2026-06-05 20:10:54
0
pascobahati :
ambao tumeelea hio thenk you ver mach tujuane 😳😳😳
2026-06-05 17:36:11
0
Bugwe :
🙏🙏🙏
2026-06-05 18:33:00
0
To see more videos from user @swahili_digital, please go to the Tikwm
homepage.