@bbcnewsswahili: Takriban meli 1,500 na mabaharia zaidi ya 20,000 wamekwama katika Ghuba ya Uajemi kutokana na vikwazo vya Iran kwenye Mlango wa Hormuz kufuatia mzozo unaoendelea. Mabaharia hao wanasumbuliwa na mgogoro usio wahusu, huku juhudi za kimataifa za kupunguza mvutano zikikabiliwa na changamoto. Je nini Hatma ya mabaharia hawa? @ahmedbahajj anaenelezea #bbcswahili #fyp #fy #hormuz #Iran #ghuba