@bbcnewsswahili: Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoweo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Wataalam wa lishe wanasemaa dagaa ni nzuri na zina faida kiafya. Je ni faida gani hizo? @sarafinarobi anaelezea- #bbcswahili #afya #vyakulavyabaharini #dagaa
bbcnewsswahili
Region: TZ
Saturday 06 June 2026 14:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Wandabwa Mukhebi :
ni omena tu
2026-06-06 15:52:49
0
Josephine Warimo :
asante sana kwa mawaitha masuri
2026-06-06 16:22:46
1
bampa 2 bampa :
2026-06-06 21:24:01
0
Michael Steven :
ndiyo napenda sana
2026-06-06 17:48:43
0
KASONGO Thug life :
niwatamu sana wewaache 👍🥰
2026-06-06 21:30:30
0
Damson Muhede :
ndio napenda sana
2026-06-06 16:12:49
0
venny...🦁🔐 :
Asanten nimeelimika
2026-06-06 14:01:20
0
davy_ze_best :
ndio maana nko salaama
2026-06-06 17:08:20
0
Justine Magina :
na Leo mchana nimekula dagaa wa ziwa Victoria
2026-06-06 14:40:58
0
Tonny west :
my favorite
2026-06-06 15:23:37
0
karis karis🇰🇪🇰🇪 :
omena nikiwa maskini nilizikula sana saa ii siwezi
2026-06-06 15:03:55
0
Baba Arhan officially :
jipatie dagaa toka ziwa Victoria
2026-06-06 14:04:00
1
SalehSp :
Faida nyengine bajet inapungua mno
2026-06-06 17:31:58
0
JOPAMA 21 :
Katika eneo la uchumi faida yake kubwa , uhokoa kipato.
2026-06-06 20:22:10
0
moswaga_tz :
naenda kujichukulia sado ya dagaa chap
2026-06-06 17:15:27
0
its_empii :
we tupe moyo tu
2026-06-06 17:53:51
0
SHUKURANI GAUDI :
nguluka je
2026-06-06 15:54:12
0
Jovinary 08 :
Naenda sana kula dagaa kwa sababu wanaimarisha mwili wangu
2026-06-07 00:04:57
0
Mwita moronya :
inasave pesa ju ni cheap
2026-06-06 15:15:32
0
ngoma kiduku :
🥰🥰🥰
2026-06-06 14:07:01
0
Adobe_Master :
💯💯💯
2026-06-06 15:01:19
0
Nonoh lukonge :
🥰🥰🥰
2026-06-06 15:48:30
0
dinhaji_43 :
👍
2026-06-06 19:14:51
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.