@emanuel_walwa: Jifunze namna ya kuwekeza Benki Kuu(Bonds) na Vipande ,(UTT) ili kukuza mtaji wako. Video nzima inapatikana YouTube SCCULT Online TV. #HisaTanzania #WealthBuilding #UTT #DSE
hesabu za shamba la matikitiki....hio mil10 hadi ipande ifikie mara 12 na kuleta mil 120 hapo ndio kipengele
2026-06-05 22:28:33
4
user1616859246602 :
what is meaning of DSE
2026-06-12 11:37:10
1
Sengimana ABEL :
Utofauti pekee ni kwamba;
DSE, thamani haina uhakika wa kupanda,inaweza kupanda au kushuka...
Ila UTT ina uhakika wa kulipwa 0.8% adi 1% ya portfolio yako kila mwisho wa mwezi, regardless ya thamani ya vipande...
2026-06-11 15:56:46
3
PdkOfficial :
UTT N NN
2026-06-15 05:40:39
1
Hamissi platnum :
nna maongez na huyu mzee naomba namna ya kumpaka
2026-06-05 18:31:04
3
Eng'wess :
Unapanda mara 12!!!12 ndiyo nini?Hizo hesabu!!
2026-06-08 08:17:11
2
mogulpendezacentre :
Vipi kuhusu I AND M Bank 😊
2026-06-11 09:49:19
1
ugmoshi :
asante kwa elimu
2026-06-09 04:00:48
1
Aggy :
DSE ndo nini kwanza
2026-06-10 08:30:09
1
Charles Tagora :
eti benki kuu
2026-06-06 10:04:34
2
Kishato :
Kwa muda gani?
2026-06-07 04:18:35
1
Mani shadmoss :
Sasa itachukua muda gani milion 10 kupanda kwa asilimia 12
2026-06-11 20:40:40
1
user6156703432814 :
unaposema imepanda mara 12. useme na muda wa hiyo hela kukaa huko. kwa mwaka au
2026-06-07 03:45:35
0
Juliana Peter :
mtu anayeanza kuwekeza awekeze wapi nishauri
2026-06-06 13:55:13
1
Re :
namba ta simu
2026-06-07 15:41:51
1
Msuya :
Maana yake unanunua hisa za mil 10 hapo sawa
2026-06-08 10:32:03
0
KANEJA MANGARU :
Hawa watu wa UTT nilishasema waishauri serikali iwekeze huko tupate pesa tulipe deni la serikali na tupate pesa za maendeleo ya taifa.Acheni story.
2026-06-08 04:35:18
0
Salum Fahad Jr :
dse pesa ipande mara 12? only kama ulinunua hisa za bei chini kipindi hiko ndo sasahv thamani ipande hivyo
2026-06-13 09:04:05
1
Maryam_ :
bwana wee tutaweka nyumbani hela zetu
2026-06-13 13:55:13
1
To see more videos from user @emanuel_walwa, please go to the Tikwm
homepage.