@uturiiorginal1:

@agii maunyunyu 🧕🧴🎀
@agii maunyunyu 🧕🧴🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 16:49:24 GMT
54087
4262
389
77

Music

Download

Comments

user38618537025094
babytee :
Mungu akuweke wewe na kizazi chako akupe baraka wewe na familia yako nakupenda Allah azidi kukuongoza
2026-06-05 20:09:36
205
maheerhamad3
[email protected] :
Sister ww ni mtu wa peponi kwa uwezo wa Allah 👍🥰jikaze kushinda vipingamizi
2026-06-06 08:40:23
129
athumanijbilimauy24
0683671301 :
mashallaaahh
2026-06-20 05:43:10
1
l18342
IN GOD EVERYTHING IS POSSIBLE :
kwangu huwezi ingia
2026-06-06 17:05:06
5
user4283234208341
zalhat :
waislam wenzii tunakupenda kwa ajil ya allah🥰
2026-06-06 13:22:13
37
babii0570
Babi :
MashaAllah, Barakallahu feeki Nimependa mashart ya mama, yanaonyesha hekima na nia njema, Allah ambarik na amzidishie kher 🤲
2026-06-06 13:54:36
22
ismailcasillaskisma
MAKACHORI :
vip ushaolewa
2026-06-06 11:23:22
10
mrs.zukisa8
ZUKISA ♌️ :
MashaAllah Allah akuongoze
2026-06-06 07:24:45
17
mwanaishavuai998
Mwanaisha Vuai :
maashaallah tunakupenda mpenzi kwa ajili ya allah
2026-06-07 16:16:13
16
user4719299754618
bosta :
masha Allaah, napenda ujasiri wako xana, Allaah akupe umri na kizazi chema... 🥰🥰🥰
2026-06-06 13:53:10
10
nurdinzuberi10
nurdin zubery :
Allah akufanyie wepesi katika kila jambo
2026-06-06 06:29:32
17
mamy.zuuh93
mamy zuuh@ :
Mashlllh nimekpnd bure kipnz chng
2026-06-06 05:40:41
7
akidaamiri
The king :
Mashaallah! sister Allah atakuongozaa kwa kila hali
2026-06-06 07:23:50
16
yusuph.peace.msak
yusuph peace msaki :
Mashaalla
2026-06-18 17:59:51
0
hasbunallah83
Hasbunallah83 :
mashaallah Allah akuzawadiye mwisho mwema na mabustani ya peponi yawe makaazi yako dadayetu katika imaan ameen tunakupenda kwa ajili ya Allah
2026-06-06 14:02:32
6
7196muna
nameless🇻🇮🇹🇿 :
Hakika umewajibu vizuri sana tena sana
2026-06-06 08:06:22
8
nassorhaji935
nassorhaji935 :
Huyo mama Mungu amuongoze nae inshaallah kwa kukutaka uijuwe dini vizuri
2026-06-07 18:57:45
8
haifaabdallah71
Haifa Abdallah002 :
mashaAllah mwenyezimungu hakuongoze njia hiliyo nyooka
2026-06-06 15:52:59
8
shaka.zulu031
Shaka Zulu :
masha Allah Allah ibarik sister 🤲🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-06 09:27:46
5
kaderbaksh.amin
Kaderbaksh Amin :
hongera sis umeiona nuru ya mungu akuongoze 🤲🤲🤲🤲🤲
2026-06-06 10:44:54
5
nassiriabdallah
Nassir Abdallah :
Mama yako amekupa masharti mazuri sana❤️
2026-06-06 06:18:13
5
jongothedon
jongo thedon :
Mashaallah….mungu akujaalie sana ..
2026-06-06 06:30:46
5
ummyilyasaa1
ummy Ilyasaa :
mwenyez MUNGU akubariki na akuzidishie imaan nakupenda kwa ajili ya ALLAH🥰🥰
2026-06-06 05:48:17
5
juma.nyambi7
Juma Nyambi :
Allah akujaalie mwisho mwema dadaangu
2026-06-10 20:46:25
2
halimamuya618
halimamuya618 :
Allah akusimamie
2026-06-15 18:36:22
1
To see more videos from user @uturiiorginal1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About