@sungura_mjanja66: #MSLAC #Katibanasheria #SSH #KaziIendelee #Nchiyangukwanza @sisinitanzania @gersonmsigwa @mslegalaidcampaign @ikulu_mawasiliano @ormipango_uwekezaji @planning_tz @wizara_ya_madini_tanzania

Sungura mjanja
Sungura mjanja
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 18:07:54 GMT
55759
2720
121
73

Music

Download

Comments

fattiee_4318
Fattiee_4318 :
mm nimependa mama kwakuitangaza ichi na kujibu vizur naomba niwe mshauri wako
2026-06-06 05:46:20
43
micho4917
Micho :
Mimi nimefurahi kuongea kwa lugha yetu ili kila mtu asikie, naomba popote utakapo kuwa umeenda ongea lugha yetu hiyo hiyo itasaidia sana kupanua lugha yetu na hapa Mjomba putin atajifunza tu, pia naomba tumsaidie Mjomba putin atupe visa ya kuja huko mama .
2026-06-06 05:27:09
25
kiksgmail.com6
🌹Bint Ally🌹💐 :
our president🥰 we are proud of you❤❤
2026-06-06 19:14:33
3
_130milimeter
_blessings :
MUNGU anaweza kumsaidia huyu mama akafanya kitu kwa taifa 🙏😊
2026-06-06 00:57:23
40
mohammadyusuph87
mohammed :
mtanzania namba moja kulisemea taifa ugenini Mungu mtie ujasiri mama samia alitete taifa letu tanzania 🇹🇿 ♥️❤️
2026-06-06 03:41:43
33
user8144814396000
joseph :
Swali zuri sana,,lkn amejibu vzr sana uchumi hauhitaji jinsia,,,
2026-06-05 19:29:05
26
makaveldeathraw
Ghullam :
Asante mama akuna kama mama m mungu akuweke watakupenda tu
2026-06-06 06:12:51
10
user8103923825929
AllmjemaTz :
Asante mama kwa kutuheshimisha na lugha yetu🙏🙏🙏
2026-06-06 05:08:50
11
ibrahimkiulaa
IBRAH :
mama pambana Tunakupenda sanaa
2026-06-06 06:29:48
12
kambimariamgmail
[email protected] :
Hongera sana mama umejua kuliheshimisha Taifa letu💪
2026-06-06 06:39:15
12
bidadijuma7
Bidadi Juma :
mama ni mama tu asante sana upo vizuri
2026-06-05 21:03:52
14
marybnone
Aminasuluh :
very good,, you are the best
2026-06-06 11:25:48
2
abuunuraiyah.fundiwasimu
Mzungu phone technician. :
Kiswahili kitukuzwe. Asante sana mama kwa kutuheshimisha
2026-06-06 05:43:18
7
bestnabil1
BEST NABIL :
2026-06-06 02:59:27
5
wawaw4764
wawaw :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Rais wetu unatuwakilisha vyema
2026-06-05 20:33:43
8
faudhiamohamed281
Faudhia Mohamed :
Kila la kheri kwako my dear mama 🥰kila hatua dua inshaallah kila kitu kitakuwa sawa inshaallah
2026-06-06 07:07:26
5
basemabughalyoun
basemabughalyoun :
God bless you mama samia
2026-06-06 04:59:36
2
user4374807786661
tiktok :
Fact mama
2026-06-06 14:48:34
0
follow.me.to.the.t
follow me to the truth :
Asante Mama Samia
2026-06-05 19:10:25
8
abubakarzahoor659
abubakarzahoor659 :
mama tunakupenda sana
2026-06-06 03:15:08
6
40tidas
40das :
Asante mama
2026-06-06 01:25:19
6
king_nsangilaii
King Nsangila II 🌟 :
Rais wetu Dr. SSH tunakuombea na kukutakia kila la kheri mama
2026-06-06 05:54:34
7
hassan.mohamedi82
Hassan Mohamedi :
safi sana mama unahakilisha nyema taifa mama mungu akusimamie 🙏
2026-06-06 04:17:42
5
juma.juma682
Juma Juma :
Kula chuma icho mama samia inshaallah Allah akusimamie Kila hatua amiin
2026-06-06 03:18:02
5
saidymihambo581
Saidy Mihambo :
mungu akulinde mama yetu mpendwa Allaah akujalie kilaitwayo leo
2026-06-06 04:09:41
5
To see more videos from user @sungura_mjanja66, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About