@rashid_ahmed360: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji na wafanya biashara kutoka Nchi za Kiarabu kuwekeza hapa Zanzibar na kusisitiza kwamba Zanzibar ina mazingira bora na fursa nyingi za uwekezaji katika sekta mbali mbali. #zbchabari