@gozbert1: #GoodluckGozbert #LovingJesusFellowship

Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 June 2026 22:49:27 GMT
17207
1957
58
37

Music

Download

Comments

dr_zakaria_richard
Rev. Dr. Zakaria Richard N :
Mwaka 2016, nikiwa na miaka 20, nikiwa na wito wa uchungaji ndo kwanza nimeanza huduma, nilikua nausikiliza wimbo wako kila saa, wakati huo ninamuomba Mungu kwa huduma yangu, na niliuona mkono wa Bwana: Nilipata kiwanja, nilipata washirika, nilipata pesa ya kuanzisha ujenzi, Niliuona mkono wa Mungu kwa namna ambayo sikuwahi kudhania ndani ya mwaka 1.
2026-06-06 09:56:46
5
sofia.paul7
Sofia Paul :
Amena
2026-07-21 04:14:24
0
user4358161797910
Lucky madini 🥰💚, :
This guy is having a full salvation for now 🔥🙌
2026-06-30 10:03:00
3
mbarikiwakalunga
Mbarikiwa Kalunga :
hicho wengi hawakitambui wanathani kuonyesha magari ndio kubarikiwa kuliko hali yao halisi ya maisha
2026-07-18 12:37:18
1
kiiza.sharon91
kiiza Sharon :
for sure indeed keep on God bless you forever
2026-06-21 11:02:08
1
with.god.we.can.d5
WITH GOD WE CAN DO IT TV :
amen 🙏
2026-07-16 13:49:09
0
diane.bahaya
Diane Bahaya :
You are so powerful Man of God
2026-06-30 04:06:48
0
manyonyi5
@~IM4128🤳₩ :
point
2026-06-08 07:52:55
1
blessedskill1
GOD MERCY FANS :
Kweli kiongozi
2026-06-06 06:03:39
5
gospelmediaafrica__
Gospel Media Africa (GMA) :
Ooh hallelujah 🙌
2026-06-06 09:11:55
1
nancylucas3
nancy :
jmn
2026-07-21 19:58:34
0
emmanuelchingula45
Alex chingula :
Amazing GOD words
2026-06-29 19:12:30
0
user1373618176517
Chief Milambo :
ila kweli banaa 😅😅
2026-06-06 08:48:09
1
wakubalansi
WAKUBALANSI Tz🦜🦜🦜 :
nakupenda sana najifunza kitu mungu anipe kutambua baraka zote za rohoni alizo nibalikia
2026-07-11 22:40:13
0
ayubumwikola_255
AYUBU MWIKOLA_255 :
hakika🙏 binafc natamani Mungu azidi kunipa mafunuo ya kumdhihirisha na kumtukuza
2026-06-06 09:41:00
3
esthercouture7
Esther Esther :
Kweli kabisa
2026-07-08 21:54:23
0
andrewkihwelo459
andrewkihwelo459 :
mambo ya Mungu huwa hatuoni kinacho onekana kwa macho ya nyama. imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo kana kwamba yapo
2026-06-06 08:10:35
1
dr_zakaria_richard
Rev. Dr. Zakaria Richard N :
Goodluck, lakini tunamuona Mungu kwa nyinbo zenu.
2026-06-06 09:55:21
4
fortunefiziboy
fortunefiziboy :
nakuelewa bro
2026-06-28 20:02:20
0
abigaelynafula254
Pastor Abigaely Nafula+254. :
Amen 🙏
2026-06-29 04:50:00
0
emmanuelchingula45
Alex chingula :
AMEN
2026-06-29 19:11:16
0
bety0029
Bettympendwa😍🇰🇪 :
kweli
2026-06-28 20:55:36
0
dr_zakaria_richard
Rev. Dr. Zakaria Richard N :
hata ninyi mkiimba kwa imani kama sisi tunavyozipokea nyinbo zenu kwa imani mtaziona baraka kama jinsi sisi tunavyoziona baraka za Mungu kupitia nyinlmbo zenu kwa sababu tunazipokea kwa imani
2026-06-06 10:00:49
0
To see more videos from user @gozbert1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About