@seifoleboy: Jana tarehe 05/06/2026, nilitaka Serikali inieleze ni kwanini Zanzibar ilifurushwa kuwa Mwanachama wa CAF bila ya hata kuwa na kikao na kuona ni hatua gani zimechukuliwa Kwa miaka 9 tokea kufurushwa?

Seif Hamad Suleiman
Seif Hamad Suleiman
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 June 2026 05:08:17 GMT
9509
257
24
9

Music

Download

Comments

ahmed_elabry
ahmed el-abry :
naona waziri anajitafuna tuuuu, kwaiyo mshapata utaifa wenu??
2026-06-06 12:27:20
1
iddi.ali7
Abu Haajar :
hapo uliposema Wenzetu tu wa Tanzania bara bass.ujue kwisha hakuna kinachokua.maana sababu ya kutolewa ni hao.
2026-06-06 10:49:24
1
asih_plumberzanzibar
ashrak :
mbn iko England, Wales ,Scotland n Ireland yote nch 1 lkn inashrk
2026-06-06 17:03:52
0
user5895608786
Ahmed Mahmoud :
Suali hili abadan CCM hawatoweza kuusema Ukweli
2026-06-06 06:01:30
3
mr.suleimanali
Mr Sule :
Sababu zanzibar si nchi
2026-06-06 12:24:12
1
eekgeminigoat
EEK ♊️ 🐐 :
Badala ya kujibu hoja mtu anatoa maelezo mengi 🤣🤣🤣
2026-06-06 14:51:28
0
husseinbakar981
Husseinbakar891 :
Kwann Hatuna uwezo wakati ZANZIBAR NI Nchi kamili
2026-06-06 10:56:45
0
maldin76
maldin :
kazi unaifanya baba
2026-06-06 14:36:21
0
willy.tax.zanzibar
Willy Sajuk :
mh😂
2026-06-06 07:25:14
1
boyfa823
sultan :
sababu ni zipi mbona hajataja hahaha😂😂😅
2026-06-06 12:28:11
0
user2555942170999
xhing :
hili swali hawawez kupata majibu mana wanajua nini kmetokea🤣
2026-06-06 13:41:26
0
asih_plumberzanzibar
ashrak :
wallah allah akulipe hili jambo tutafrah
2026-06-06 17:05:11
0
husseinbakar981
Husseinbakar891 :
Bado hajatujibu swali letu
2026-06-06 10:56:12
1
omar_muhsin2
Mr Mtu Kwetu :
tatizo letu wazanzibari ukiwa mpinzani hoja zako siku zote ndio hizo hizo za kijinga kujifananisha na uingereza Scotland ndio nni hojawanazo wao CAF na FIFA lkn hoja yao ni muungano sio act wazalendo sio waumini wa muungano
2026-06-06 15:13:09
0
zanzibar.259
zanzibar.259 :
mamaeeee 🥸🥶🤯 unaulizwa kwanini hujanywa maji unasema chakula hakijapikwa 💤💦💥💫🗯🗯 aaaahhhh inaumiza viongozi wetu jinsi walivo wabovu
2026-06-06 15:08:46
1
abdul.tour2
abdul9 :
mmmh ondoka ondoka ondoka
2026-06-06 16:05:01
0
dida_44666
💘💎dida💎💘 :
nyinyi ndio tunaowategeme kuiokoa nchi hii chini ya majangili ccm Allah awasimie kwa kila hatua
2026-06-06 17:01:37
0
shukumalido0
125 :
👍👍👍
2026-06-06 11:02:55
0
To see more videos from user @seifoleboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About