@noralynn78: 1, Kuwa na hamu kali ya tendo la ndoa kuliko siku zingine • Hii inakupa taarifa kuwa mwili wako unahitaji sana hiyo mimba na inaashiria upo kwenye siku za rutuba (Ovulation) 2, Maumivu madogo ya tumbo la chini upande wa kulia au kushoto • Hii inaonesha kuwa sasa lile kokwa au chupa la yai limepasuka na yai limetoka kwa ajili ya urutubishaji kwaiyo hiyo ni taarifa ya mwili wako kuwa unataka mimba 3, Kuongezeka ute ukeni (Ute wa Ovulation) • Au unaweza kusema ute wa mimba, unaona mweupe kama kioo, au kama yai na unateleza sana hiyo ni ishara kuwa mwili wako upo kwenye siku za rutuba. kumbuka wanawake wengine wanapata ute ila haunekani kwa nje ya uke 4, Mabadiliko ya joto la mwill • Kwa kawaida utaona hiyo imekuwa ni tofauti kabisa na siku zingine hasa nyakati za asubuhi wakati wa kuamka, unaona mwili wako umeongezeka joto kuliko kawaida na siku zingine ( 0.2 Cg ) mpaka ( 0.5 Cg ) ndio huongezeka kutoka kwenye joto la kawaida la mwili 5, Matiti kuwa nyeti • Mwanammke utahisi maumivi, chuchu kuwasha, au uzito kwenye matiti yako na hiyo ni kutokana na mabadiliko ya homoni 6, Kutokwa na matone ya damu • Pale yai linapopasua ile kwoka lake au mfuko wa yai baadhi ya wanawake hupata maumivu mepesi ya upande mmoja au kuona matone ya damu. pia hapa mwili wako unakupa taarifa kuwa unataka mimba Dalili hizo zimekuwa zikiwatokea wanawake wengi sana ila bahati mbaya wengi huwa hawafahamu na wanaweza kuhisi labda ni tatizo au ugonjwa kumbe mwili wako unataka mimba bila hata wewe kujua🤰🤰

Norah Health Tips
Norah Health Tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 June 2026 07:05:10 GMT
221498
2991
191
349

Music

Download

Comments

lizzyphina
LIZZYPHINA 🦋🧶🪡 :
mwili unataka mm staki tutaona mwili na mm nani boss
2026-06-08 07:51:47
108
nana.butterfly4
Nana butterfly 🦋 :
Me ctaki kuskia story za mimba kwa sasa
2026-06-07 10:28:23
40
iam_win_able01
iam_win_able01 :
Tulia mwili wangu mwaya usitake kujiamulia mambo🥹
2026-06-08 10:14:41
46
luciadaniel30
Luciadaniel30 :
mimi zote hizo napata lakini mimba haishiki naumia sana
2026-06-07 20:15:13
9
rehemajohn345
daddy's princess 👌🦋😘 :
mwili acha shobo mwanetuu 😂
2026-06-08 15:25:18
16
wasmat_3863
🌹🦋Wasmat_Salum♥️🦋 :
Izo ni dalili za ovulation mbona
2026-06-07 12:04:53
4
janep2320
janeP :
naombeni mnisaidie siku kumi zimepita sijaona hedh lkn jana nimeona damu kidgo sijaona tena hata tone
2026-06-07 15:57:53
3
alines.albert0
alines albert :
Hizo dalili Mimi ninazo, hii ni wiki ya pili sasa nipo hivyo.. tatizo Sina mume wala mchumba 🥹
2026-06-07 09:14:52
4
bintkhadijas242
Bintkhadija☺ :
Yn Kama hapa niko na hamu sana na babe yuko mbali🥹
2026-06-09 10:57:10
3
winnienange
winnie@nange :
hamu ipo ila mimba..ngoja kwanza 😏
2026-06-10 13:02:11
4
hawa.warda
Mrs Malik :
mimi na pataga izo dalili lakini hakuna mimba
2026-06-07 14:57:08
3
naina.ally2
Naina ally🔐🥤🌹 :
mmmm mi naogopa yani natamani chuchu yangu mda wote inyonywe
2026-06-09 10:56:26
5
cutesophie04
it's phia🖤 :
Nimeisha🙌
2026-06-08 09:43:12
2
kipungo
KIPUNGO :
ilo acha lipasuke halafu litajiunga wenyewe sitaki mimba mie saiv
2026-06-08 11:02:01
6
mom.gee823
Mom Gee823 :
Bd mda ase hzo vtu ztulie tu jmn
2026-06-07 07:05:05
5
joyce.anthony13
Rda one :
siku hizi mimba zinaniogopa🤣🤣🤣🤣
2026-06-08 15:52:51
3
hamisa.baraka5
Hamisa Baraka :
mmh
2026-06-08 13:10:42
1
manywelemuga727
Manywele Muga :
tuliokimbilia kusoma comment tujuane
2026-06-08 02:34:32
9
sramaesha
butterfly :
mbn mnapend kujiamlia mambo
2026-06-09 09:14:43
1
edithamlelwa6
Editha Mlelwa :
jamani hizo dalili ninazo
2026-06-06 15:20:43
3
mkizungo1
Mparemzury❤️🔒 :
hii no 5 mmmh 😏
2026-06-08 15:37:59
2
hiluke107
Hi Luke :
yaan mm dalili zote nazo 😜
2026-06-08 06:17:45
5
mina.fresh.care
mina fresh care :
afadhal sina hata dailies moja🤣
2026-06-07 19:29:24
1
ma.happy810
🫰The Power of God🫰 :
Ni kweli lkn hapana maana bado sijamuona Wa kuzaa nae
2026-06-08 10:21:35
3
To see more videos from user @noralynn78, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About