@health_farm_tz: Baada ya hedhi kukoma (menopause) kiwango cha hormone muhimu ya estrogen hushuka kwa kasi hali ambayo huleta mabadiliko ya ghafla katika mwili wa mwanamke. Moja kati ya athari muhimu zaidi ni mabadiliko katika ujazo (density) wa mifupa ya mwanamke, kupungua kwa kiwango cha hormone ya estrogen husababisha mifupa kuwa dhaifu na laini hali hii kitaalamu inajulikana kama Osteoporosis. Halii hii huongeza hatari ya kuvunjika kwa mifupa kwa urahisi mno isivyo kawaida, na ndio maana wanawake wengi umri wa kukoma hedhi au waliokwisha koma hedhi hukabiliwa na changamoto za mifupa. Kuna njia kadhaa za kupunguza hatari hii ya kuvunjika kwa mifupa na moja wapo ni matumizi ya virutubisho muhimu vya madini ya calcium na vitamin D ambavyo husaidia kujenga mifupa na kupunguza kasi ya mifupa kudhoofika kama alivyoeleza Dr Ngarina. N.B Kwenye Video ni Dr Matilda Ngarina, Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi na mkuu wa kitengo cha uzazi pandikizi kutoka Hospital ya Taifa Muhimbili (MNH) akizungumza kuhusu athari na dalili za Hedhi kukoma (menopause) katika tukio liloandaliwa na BarbaraHassan foundation. ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA! Credit: @barbarahassanm @simulizinasauti #healthfarmtz #menopause #menopausesupport #tiktokviral #tanzaniatiktok

health_farm_tz
health_farm_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 June 2026 09:41:39 GMT
86826
1622
38
581

Music

Download

Comments

blastforup.mandela
Dr.Blastforup Mandela♥️♥️ :
My best Dr.matrida Ngarina. Congutration for this nice lesson
2026-06-06 12:51:48
8
ibrahimmalilo
The anonymous one :
Dr Ngarina 🔥💕
2026-06-06 13:02:50
4
alice._cards_invi
Alice _cards_invitation :
Vyakula vipi
2026-07-18 16:49:15
0
zeyjacky4
zeyjacky2 :
Asante kwa ukumbusho.
2026-06-06 12:42:33
2
j.d.j.k6
📌 :
Mimi naangalia uzuri wa huyu mwanamke 🥰
2026-06-07 14:22:20
6
susan.ledman
SUSAN LEDMAN :
Be blessed Dr
2026-06-06 18:22:46
2
user8198777961785
nilinagwekyala :
tule vyakuka Gani au supplement gani
2026-06-06 19:51:18
2
ifrahifrahhoney
Qulu nafsi dhahiqatul maut🕋 :
Vitamin D3
2026-06-07 04:28:51
1
happywilliam8
Happy William :
my dr oooh ulinifanyia op ya mwanangu safe kabisaaa @🥰
2026-06-07 18:43:44
1
lilian.kassasse
Lilian Kassasse :
thx Dr.
2026-06-08 06:28:24
0
mariamigani2
분홍빛 별이 빛나는 하늘 꿀 :
Asante mama
2026-06-07 13:31:07
1
neyhase
neyhase :
Dr Ngarina 🥰
2026-06-11 08:56:33
0
viazimviringo0
makande :
kweli kabisa
2026-06-06 21:12:58
1
_mahra06
I'm :
asantee dokta wangu
2026-06-09 08:51:28
0
2035mshana
Mage Mshana :
Dr.Ngarina asante kwa ushauri,pia ulinisaidia nakukubali sana
2026-06-10 05:32:38
0
happiekim1
happy kim :
The Best Doctor ever
2026-06-06 17:11:53
3
mbwambo26
user9090395034302 :
Dr wangu nakupenda sana
2026-06-06 15:27:18
2
mamaboys747
Celina Gombanillah :
Kweli nimeteleza kidogo tu nimevunjika ankle hadi operation sina hamu🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️
2026-06-07 07:34:53
2
user755433759811
user755433759811 :
Sawa kabisa watu ukiwambia wale Supplemant wanakuzarau kabisa
2026-06-08 04:22:42
2
joympemba8
JoyMpemba :
Dr. Ngarina nimekuona nimefurahia hiyo shule ya mifupa sijui utanikumbuka nimestaafu
2026-06-06 18:38:49
2
mtazamochanyacenter
super woman :
Karibuni guys ninazo suppliments/ virutubisho lishe
2026-06-06 16:35:19
1
lightness198
user8185768167621 :
vyakula ni gani sasaa
2026-06-06 16:33:10
1
user4298216140429
user4298216140429 :
tule vyakula gani sasa dr
2026-06-06 15:13:52
1
shanibigirimana
shanibigirimana :
Dr.twambiye vya kula gani inabidi tule izo vitamine nazipata wapi nipo Burundi
2026-06-07 04:14:45
1
shayo065
shayo065 :
😳😳😳
2026-06-07 15:32:54
1
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About