@veriafya: Ujumbe huu alioutoa Prof. Mohamed Janabi Juni 27, 2024 kwenye kambi maalumu ya uchunguzi wa Magojwa jijini Arusha unatukumbusha umuhimu wa kulinda afya zetu ili tujiepushe na Magonjwa yasiyoambukizwa. Chakula kinaweza kujenga au kuharibu afya, tukitumie kwa namna nzuri ili miili yetu ipate manufaa mazuri