@abdulazizielajemi: ✨ ALLAH NI MUADILIFU KAMA ILIVYO SIFA YAKE YA UADILIFU.☘️ ✨ Tafsiri ya Aya hii ambayo wengi Huwa tunakosea ni "Allah anamuongoza katika kheri anayetaka kuongozwa na Allah anamuongoza katika Shari anayetaka kuongozwa. ✨Ndio maana Mtume (s.a.w) alisema 'Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa yule atake kataa mwenyewe..' #islamic_video#guide_qalam#foryoupage#qur#viral ✨FOLLOW ili kujifunza uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. ✨FOLLOW ⬇️ ⬇️ ➡️@guide_qalam ➡️@Abdulazizi El Ajemi |Facebook|
guide_qalam
Region: MA
Saturday 06 June 2026 13:55:59 GMT
Music
Download
Comments
Mo Laamar :
Ya Allah tujaalie tuwe miongoni mwa waja wako wema watakaoingia pepon 🤲🤲
2026-06-06 21:23:27
6
Barwaaqina. :
Ya Allah guide us to the right path Amiin ya Rabbi🤲🤲🤲
2026-06-09 16:23:43
2
Asha Mgandi :
Subhannallah
2026-06-06 15:54:37
3
nanah kidee :
ya allah tujalie mwisho mwema
2026-06-06 21:44:17
1
Riziki :
allah🤲🤲🤲🤲🤲
2026-06-07 16:53:36
0
user7611667599628 :
Ya-Allah atujalie mwixho mwema
2026-06-11 07:57:43
0
Kailula@mobile :
yaa rabbiy atujaalie mwisho mwema ya rabbiy 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-06 19:02:09
1
ummy. marym :
ya Allah tupe mwisho mwema
2026-06-06 20:43:36
1
Hussein Hudson muhind :
inshallah 💜
2026-06-09 04:08:20
0
CLACHER VUP :
inshallah
2026-06-08 18:41:56
0
Geoffrey :
amen
2026-06-07 10:34:53
0
user1607577283181 :
mashaallah
2026-06-07 16:23:10
0
Med Al Karim :
Allah 💓
2026-06-09 17:34:45
0
user7625481876176 :
In sha Allah
2026-06-07 04:48:59
1
side04 :
allahumma amin allatujalie mqwishomwema
2026-06-07 16:22:22
0
Maulid :
amen
2026-06-06 17:54:15
0
user3580053128242 kavira afo :
ishallah🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-06-07 08:45:46
0
Halimaa Ali :
ya Allah tujalie tuwe miongoni mwa waja wko wema
2026-06-06 23:02:58
0
halima N lenarokwe(back UP ACC :
inshaallah
2026-06-06 20:36:32
0
mussa b.ali :
Inshallah
2026-06-06 20:18:10
0
Mimi :
Amina
2026-06-11 10:49:43
0
Rams :
yarabii tunusuru
2026-06-06 21:08:01
0
mido_dam. :
Ya Allah tujalie mwisho mwema
2026-06-06 22:36:48
0
Sisqo boy Lamu island 🏝️ :
Allah Akbar 🤲🥰
2026-06-06 20:30:18
0
mj :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-06-06 18:20:51
0
To see more videos from user @abdulazizielajemi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.