Na endapo akitokea mtu mwingine anaetaka kununua figo unishtue na Mimi niuze ya kwangu, siwezi kuishi kizembe na wakati utajiri Niko nao ndani mwangu. Figo yangu Haina kipengele sijawai vyuta sigara wala pombe kunywa
2026-06-09 10:12:05
0
Merry :
Me naona huyu wa mayai hapokei cm
2026-06-07 13:13:54
0
yullie :
Mwanza kunasehemu wananunua figo nielekeze na mimi 🙄
2026-06-12 18:59:15
0
Slayed luxury hair :
😂😂😂😂😂au sio
2026-06-06 22:33:08
1
🦋mirmir🦋 :
Aeleweke tu jmn
2026-06-07 04:45:57
0
neyh stev :
Na sisi mwezi kama huu mwakani song itakuwa ni moja tu "hili limeniumiza sana"😁😁