haki nina mwez natumia nilikuwa nina kilo 90 leo hii tar 15 mwez wa sita nimepima saa 6:11 nimepima nimekuta nina kilo 79 Mungu ni mwema na siachi hii kitu nataka nifike 60kg
2026-06-15 14:06:25
4
Salome Kefa :
unapatikana wap
2026-06-11 14:14:27
0
ever fashion songea👗👖👕👚 :
kipenz hata tango lile kubwa mana huku nlipo yapo manene yale 🥰
2026-06-07 05:49:46
1
Dayna❣️ :
unaweka sukar
2026-06-15 15:33:40
0
Sylvie nyaba2 :
tutakunya yabarindi wala yamoto
2026-06-13 06:06:05
0
leekid :
Bei gan ilotengenezwa?
2026-06-07 10:09:33
0
Pretty-nuu :
Hvyo vichupa bei gn
2026-06-07 09:10:27
0
faiza Omar :
sasa unakula km kawaida ama
2026-06-07 18:01:27
1
bachi :
unawez hifadhi kweny friji
2026-06-27 12:35:11
0
Ester Mburi :
mim nanyonyesha vipi inafaa? maan Nina mtoto mchanga
2026-06-15 18:46:14
0
Winnie05 :
Naitaji ivyo vichupa
2026-06-14 09:21:15
0
lady suu 🦋❤️ :
sasa ipi ni nzur zaidi maana umetoa nyingi hatuelewi
2026-06-30 18:10:04
0
@mimi :
nko mwanza napataje
2026-06-18 08:44:43
0
tatumhina391 :
naitaji nipo kimala kologwe napataje nabei sh ngapi?
2026-06-29 19:46:23
0
To see more videos from user @ummy_wellness, please go to the Tikwm
homepage.