@wazawa.electrical: Changamoto ya box za kawaida tuliwahi kukumbana nayo kufunga smart switch ikashindikana hazikai kabisa kama kwenye kujengea iliflash na plasta ... Ila kama uliizamisha ndani kidogo unaweza kuifunga .... hivo boss alibidi asifunge smart switch kwa sababu ilimbidi kuzifumua na kuzijengea upya kitu ambacho alikataa maana nyumba ishafanyiwa finishing kila kitu vema pia kutumia box za plastics badala ya za chuma maana walau zile unaweza hata kutindua kwa drill na ukaweza kufunga... Ila aliyekuwa amefanya kazi pale alitumia box ya chuma haikupi second option zaidi ya kuingoa na kujengea box za muundo huu.... Karibu wazawa ushauri ni bure kuepukana na madhara ya baadae ..... Kila siku vifaa vya umeme vinatoka vipya na vizuri ivo mwanzoni weka mapema morden Installation kuepukana na mahitaji ya baadae kushindikana kufitishwa #umeme #wazawaelectricalsolutions #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #UJENZI